Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
51,760
2,000
Kwa Trump hali hiyo si ya kawaida. Trump alitaka kupora uchaguzi alioshindwa kwa kishindo. Pamoja na kufungua kesi 62 hakuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai yake hivyo kesi zote 62 alizofungua kupinga matokeo ZILIPIGWA CHINI...
Wenzetu wana taasisi imara

Ova
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,461
2,000
Kabisa Mkuu Trump alidhani anaweza kupindisha sheria kirahisi kwa kuwatumia Republicans wenzie ambao walisimamia uchaguzi, waliosikiliza kesi zake 62 za kupinga matokeo na hata kule Supreme Court ambapo kuna Republicans 6 na Democrats 3 kote huko alipigwa chini.

Si kama hapa kwetu Bunge, mahakama, Tume ya uchaguzi, polisi, JWTZ, TISS etc vyote jiwe kaviweka mfukoni mwake hivyo kupora uchaguzi kwake ni rahisi mno kama kumsukuma mlevi.
Wenzetu wana taasisi imara

Ova
 

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,199
2,000
Mkuu kwani Watanzania tulimtaka huyo anayejiita mwendawazimu aendelee kubaki madarakani? Hata yeye mwenyewe alijua hapendwi na umati kwenye kampeni za Lissu Nchi nzima ukamtia hofu kubwa hivyo akaamua kufanya uporaji.

Hivyo ndivyo huko itakavyokuwa huko Uganda hiyo January 20th na wengi wataumizwa, kutiwa vilema na hata kupoteza maisha yao.
We ni mpumbavu kweli kea akili yako lissu alishinda uchaguzi?

Mbona mnalishwa ujinga mkiwa hai na mistress yenu?
 

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,199
2,000
Mu7 atashinda tu mzee baba
Nchi za kiafrika huwez shinda kwa makaratasi
Ndomana m7 anajiita quarter pin

Ova
Kama mnajua hamuwezi kushinda kwa makaratasi mnaingia kwenye uchaguzi wa makaratasi wa nini?
 

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,151
2,000
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani


kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Ni Afrika tu, haya mambo huwezi ona kule kwenye demokrasia ya ukweli..
 

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,199
2,000
Kikosi cha ulinzi wa rais humlinda asimalizwe tu , hakiwezi kuzuia asing'olewe
Kama ni rahisi nyie mnashindwa nini kumng'oa Magufuli?

Acheni ndoto za mchana kweupe kurahisisha mambo kwa stress zenu.

Waganda siyo wajinga kama nyie chadomo na ndiyo maana hawatukani,hawaoneshi chuki,hawakejeli,hawachochei,n.k kwani wanajitambua na kuelewa nini wanahitaji na kufa juu siyo mdomomdomo.

Cdm majungu na uchochezi vimewajaa na uongo juu
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
27,852
2,000
109098765.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom