Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

Ni ile bolt inayokaa kwenye baiskeli
Sehemu ya padle
Huwa inaingia kwa kugongwa,ukitaka itoa pia lazima uigonge na nyundo
Mu7 hawez achia au umshinde kwa makaratasi

Ova
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani



kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??

Muulize raisi mpya wa marekani kwa nini anaapishwa kwa ulinzi wa wanajeshi zaidi ya kumi elfu?
Kwa nini afanye hivyo wakati ni nchi kinara wa demokrasia?
 
Kwa Trump hali hiyo si ya kawaida. Trump alitaka kupora uchaguzi alioshindwa kwa kishindo. Pamoja na kufungua kesi 62 hakuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai yake hivyo kesi zote 62 alizofungua kupinga matokeo ZILIPIGWA CHINI. Akaona haitoshi matokeo yake akawaamuru wahuni waandamane January 6th ili wamsaidie kupora uchaguzi lakini pia ikashindikana. Wahuni hao wanaendelea kuwasiliana mitandaoni ili January 20th wamuue Rais mpya, makamu wake na Spika wa Bunge. Hii ndiyo sababu ya Wanajeshi kumwagwa kwa wingi lakini si kawaida.
Hata kwa Trump majeshi yamehusishwa na majenerali watapeleka wanajeshi 15,000 kwenye uwanja wa kumwapisha Biden sembuse Uganda.
 
Kwa sisi wahaya tunawajua sn waganda wakiamua mmmh ni balaa tupu kuna siku nilienda uganda nikiwa mdogo nikakuta kuna mgomba una ndiz nzur nikasema ngoja nile aisee mwenyeji akaniambia ukila shaur lako acha kabisa waganda ni wakorof
 
Ukweli Mchungu Africa Bado Wafalme, Sultan Bado Wapo Jamani
Mnakumbuka Kauli Ya Ally Kessy
Ndiyo Haya Sasa Hivi Uganda
 
Back
Top Bottom