Tetesi: UCHAGUZI TLS: Mawakili wa serikali(TAMISEMI) "kufundwa" kesho Arusha, kura zao zaleta hofu

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani

Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.

Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji

TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao

Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
 
Mkuu shukrani kwa hilo angalizo.
 
Hao wanasheria wanafika wangapi??Kama mwanasheria ana haki zake za msingi na anaakili timamu.Na wale wa AG pia wawafunde.

Hivi wanasheria walio kwenye private sector na wale waliokwenye government sector wapi wako wengi??

Any way cha msingi tunahitaji kura zao.
 
Hapa nadhani uelewa wa mawakili unatakiwa zaidi.Amini usiamini ikiwa mawakili wa serikali watahudhuria kiujumla wao na kama tunavyojua watu wa serikali wanatetea ugali wao ni dhahiri kura za wagombea zinaweza kuangukia kwenye mteule wa mkuu. Jumla ya halmashauri zote ni zaidi ya mawakili100 hivyo tukaze moyo.
 
Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani

Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.

Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji

TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao

Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
wewe ni muongo na mfitini. sheria inakataza kusambaza uongo.ukifikishwa mahakamani kwa uongo huu utasema umeonewa????
 
  • Thanks
Reactions: e2n
IMG_20170226_180142.jpg
 
Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani

Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.

Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji

TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao

Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Tetesi siyo chanzo kizuri cha habari za kuaminika
 
Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani

Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.

Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji

TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao

Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Kwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushi
wa mchana kweupeee...
nikikuuliza , nani facilitators na sponsors wa mafunzo hayo ya jando na unyago (maana umesema wanaenda kufundwa) , nitajie wanachama au mawakili hao wa serikali, muda ambao mwatafundwa(kama ulivyyosema) , ukumbi wataofundwa, mada watazofundwa, lengo la kufundwa, etc maswali ni mengi sana , kwa sasa nakuachia hapa ili ukitoka ufipa nikuendelezee dozi.
 
Back
Top Bottom