UCHAGUZI TAR 14: Nimeshaanza kufanya mazoezi ya kusurubu CCM

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
287
110
Wana JF, tangu jana nimeanza mazoezi kwa ajili ya kuwasurubu hawa jamaa siku ya Jumapili tar 14. Naamini mpaka kufika hiyo Jumapili ntakuwa very fit kwa ajili ya kuwashikisha adabu hawa Manyang'au. Jumapili asubuhi sana nshafika kituoni na peni yangu, watanikoma.!nna usongo nao kinoma. Nawashauri muanze mazoezi mapemaa.
 
hii ni miongoni mwa thread za kipuuzi kabisa. hivi kupiga kura ya ndio kwa chama fulani inahitaji mazoezi gani?

Back
Top Bottom