Uchaguzi States leo!

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,493
2,247
Wakati tunazidi kusubiri matokeo yachakachuliwe!

Tukumbuke pia kuwa leo ni uchaguzi US. Ambako inasemekana Democrats watapoteza majority kwenye senate, hii ni kutokana na hali mbaya ya kiuchumi hasa ukosefu wa kazi iliyotawala tangu Obama alipoingia madarakani.
 
...ni uchaguzi US. Ambako inasemekana Democrats watapoteza majority

"Jukwaa la Siasa" maana yake siasa za Bongo! Peleka taarifa za Obama and Democrats kwenye International forum huko! So much for ukosefu wa kazi US na Dems kupoteza majority, who cares
 
Back
Top Bottom