Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

mwananyamala huku ukawa wanaongoza kata 3 kati ya 7 bado 4 wanahesabu kura
 
Kwa matokeo haya ya awali....na ukajumlisha na viti vilivyowekewa pingamizi....muda si mrefu...Tanzania inaelekea kurudi mikononi mwa wananchi. UKAWA lazima waungwe mkono.
 
viva ukawa! viva chadema. mpaka sasa morogoro kata ya kilakala chadema imeshinda mitaa 6. diwani alisema kama chadema watachukua mtaa mmoja ataachia ngazi. tunasubiri ajing'atue.
 
Kata ya keko,mtaa wa magurumbasi B wakala wa ccm amegoma kusaini matokeo mpaka muda huu,na vijana wamezunguka ofisi wakidai,taarifa ni kwamba chadema wanakula 60 mbele ya ccm.
 
Jamani wadau leo nina furaha ya ajabu faizafox popote ulipo, mamndenyi njooni tu tujumuike msiogope maisha yanaendelea.
 
Nilikuwa safari, nimerudi jioni hii hapa Iringa mtaa wa Bwawani kata ya mkwawa, Chadema wako barabarani wanashangilia. Nimeuliza wanasema wameshatangaza. Peopleez!
 
Back
Top Bottom