Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Habari wakuu,

Kama tunavyofahamu leo ni siku ya upigaji kura kwa ajili ya kuwapata viongozi wetu kwa ngazi ya serikali za mitaa Tanzania Bara, Muda si mrefu tutaingia kwenye awamu ya pili ya utangazaji matokeo baada upigaji kura, tutasaidiana hapa kukusanya matokeo kadri yanavyotolewa.

Kuanzia saa 10:15 alasiri matokeo yanaanza kutangazwa kwa sehemu ambazo wagombea wamepita bila kupingwa.

=====================

Kyela ongeza Kalumbulu ni CHADEMA..na BONDENI A wameshinda CHADEMA pia!!
 
i chadema bado sana taarifa kutoka igunga. Kata igunga mjini inayoongozwa na chadema ccm vitongoji na mitaa 11 chadema 5,kata ya kinungu inayoongozwa na chedema CCM vitongoji 8 cjadema 1.vijiji vyote ccm.kata ya mbutu chadema kijiji 1 ccm 5 vitongoji vyote ccm.Kata ya kitangiri CCM vitongoji 18 chadema 2 vijiji vyote vitatu CCM.hakika CCM kuiangusha ni karne nyingi jamani looooohJ

Umeandika nini sasa wewe kiazi kikuu?
 

Monduli; Kitongoji Kambi ya Mkaa

CHADEMA 27
CCM 13

Mwanga Mtaa wa Lwami;

CHADEMA 55
CCM 35

Arumeru Magh. Kitongoji Endulele

CHADEMA 170

CCM 130

Ushirombo mjini;

CHADEMA inaongoza vitongoji 10
CCM inaongoza vitongoji 4

Moshi Manispaa; Kitongoji Longuo A

CHADEMA 206
CCM 66

Mbozi Mtaa wa Mbugani

CHADEMA 227
CCM 160

Mbozi; Mtaa Masaki

CHADEMA 99
CCM 44

Kigoma Mjini; Mtaa wa Gezaulole

CHADEMA 240
CCM 198

Ukonga- Mtaa wa Kivule Majohe

CHADEMA 231
CCM 77

Musoma Vijijini- Kijiji cha Muhoji

CHADEMA 197
CCM 464

Ubungo- Mtaa wa Msewe

CHADEMA 683
CCM 356

Kinondoni- Mwenge Nzasa

CHADEMA 344
CCM 318

Tarime Forodhani boda (kitongoji)

CHADEMA 289
CCM 90

Tarime Forodhani Kijiji

CHADEMA 312
CCM 99

Monduli Mto wa Mbu Kijiji Jangwani

CHADEMA 147
CCM 124

Mwanga Kitongoji Mgagao

CHADEMA 56
CCM 32

Rorya- Mtaa Ngasaro

CHADEMA 480
CCM 360



Arumeru Mash. Mtaa wa Manyata

CHADEMA 168
CCM 91

Ubungo- Mbezi Yusuph
CHADEMA 190
CCM 163

Mwanga- Mtaa Mtahang'a
CHADEMA 116
CCM 73

Ilemela- Mtaa wa Pasiansi
CHADEMA 689
CCM 247

Karatu- Mtaa Mazingira
CHADEMA 290
CCM 130

Karatu Mtaa wa Maliasili
CHADEMA 240
CCM 77

Karatu- Mtaa wa Manyara
CHADEMA 220
CCM 170

Tarime Mtaa wa Bugosi
CHADEMA 438
CCM 138

Tarime Mtaa wa Regoryo
CHADEMA 191
CCM 75

Segerea Mtaa wa Migombani
CHADEMA 547
CCM 225

Mamlaka ya Mji mdogo Shirati-Rorya ina mitaa 9
CHADEMA mitaa 7
CCM mitaa 2

Mererani mitaa 8
CHADEMA mitaa 7
CCM mtaa 1

Mkuu kwanini usiupdate kwenye ule uzi wa Magazetini?

CC Invisible unganisha huu uzi
 
Last edited by a moderator:
Pipoooooooooooooooouuuuuz.. Maeneo ya mivinjeni, na bandari,Kiungani kimeshaeleweka magambaaaaaaz chaliii. Bado shimola udongo na saadan yani fulushangwe duuh. Pipoooooooz.
 
Back
Top Bottom