Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
843
195
Vipi Mtaa wa Magogoni.....Rais najua hakupiga kura maana hakujiandikisha kutokana na tezi tu
 

Chidudule

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
452
195
habari nilizozipata sasa hivi Chadema wamejinyakulia mtaa mmoja. Hongereni sana Makamanda

Hapa Morogoro kata ya Kihonda Maghorofani kwa mara kwanza Chadema mpaka sasa imezoa mitaa 3, CCM wasifikiri hizi ni enzi za mwalimu. Vijana sasa hivi hawataki mchezo. Viongozi wa CCM walikuwa na kauli za kejeli sana sasa leo wamevuna walichopanda na hii imewapa hamasa watu hasa vijana na akina mama kuwa uchaguzi ujao utakuwa mgumu kwa CCM.
 

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,952
2,000
Kijana machachari Josh Nassari aka jeshi la mtu mmoja anaendelea kuingo'a ccm hapa Arumeru mashariki...stay tuned!
 

Dupe

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
1,668
1,500
Tunaomba tupate matokeo ya Mtwara kwenye Gesi - mikataba ya siri.

Maeneo ya msimbati kuna vitongoji 11 vyote vimeenda UKAWA……… huku ndiko kwenye visima vya gas ambako walikung'utwa sana na police walipogoma ggas kutoka

Mpapula UKAWA 35 na CCM 17 vitongoji
 

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
John Mnyika
Mitaa tuliyoshinda:
mwanga mtaa wa Lwami CHADEMA 55, CCM
35
Mererani CHADEMA imeshinda mitaa 7 kati ya
8
Endulele kitongoji CHADEMA 170, CCM 130
Tuendelee kuhabarishana matokeo ya kila
sehemu.
 

kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
Wadau kwa matokeo yanayoendelea kutangazwa ya serikali za mitaa,vijiji,na vitongoji inanipa picha kwamba suala la upinzani kwa Watanzania bado halijawaingia kabisa.kwani Pamoja na mazonge yoote yaliyoikumba serikali ya CCM hivi karibuni hasa hili suala la ESCROW nilitegemea kwa uchaguzi huu mdogo tu, Wananchi wangekuwa nahasira na CCM na Serikali yake, lakini kwa matokeo haya inaonekana wapinzani Hasa Chadema kuna mahali wanakosea, na wasipoangalia kuingia madarakani itakuwa ni sawa na jua kuchomoza Magharibi na kuzama Mashariki. na naimani 2015 Hali kwa upinzani itakuwa ngumu sana kama hawatabadilika toka walipo sasa kwani kuna vitu muhimu wanakosa.Niko mkoani Morogoro Mitaa,vijiji na Vitongoji vyote Wamechukua chama Tawala CCM.nahitimisha kwa kusema wapinzani Badirikenikama mnatakamfike mnakotakana sasa muende kwa raia na Hoja zenye Mashiko.
i chadema bado sana taarifa kutoka igunga. Kata igunga mjini inayoongozwa na chadema ccm vitongoji na mitaa 11 chadema 5,kata ya kinungu inayoongozwa na chedema CCM vitongoji 8 cjadema 1.vijiji vyote ccm.kata ya mbutu chadema kijiji 1 ccm 5 vitongoji vyote ccm.Kata ya kitangiri CCM vitongoji 18 chadema 2 vijiji vyote vitatu CCM.hakika CCM kuiangusha ni karne nyingi jamani looooohJ
 

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,306
2,000
Yeeeey........makamanda moto huo huo.......CCM kwa kweli hii ni dalili mbaya kwenu.......huu ni uchaguzi wa mwenyekiti lakini hiyo nyomi.........nafuraha kuona waTZ wamerudiwa na ufahamu.........
 

CHADEMA

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
469
1,000

Monduli; Kitongoji Kambi ya Mkaa

CHADEMA 27
CCM 13

Mwanga Mtaa wa Lwami;

CHADEMA 55
CCM 35

Arumeru Magh. Kitongoji Endulele

CHADEMA 170

CCM 130

Ushirombo mjini;

CHADEMA inaongoza vitongoji 10
CCM inaongoza vitongoji 4

Moshi Manispaa; Kitongoji Longuo A

CHADEMA 206
CCM 66

Mbozi Mtaa wa Mbugani

CHADEMA 227
CCM 160

Mbozi; Mtaa Masaki

CHADEMA 99
CCM 44

Kigoma Mjini; Mtaa wa Gezaulole

CHADEMA 240
CCM 198

Ukonga- Mtaa wa Kivule Majohe

CHADEMA 231
CCM 77

Musoma Vijijini- Kijiji cha Muhoji

CHADEMA 197
CCM 464

Ubungo- Mtaa wa Msewe

CHADEMA 683
CCM 356

Kinondoni- Mwenge Nzasa

CHADEMA 344
CCM 318

Tarime Forodhani boda (kitongoji)

CHADEMA 289
CCM 90

Tarime Forodhani Kijiji

CHADEMA 312
CCM 99

Monduli Mto wa Mbu Kijiji Jangwani

CHADEMA 147
CCM 124

Mwanga Kitongoji Mgagao

CHADEMA 56
CCM 32

Rorya- Mtaa Ngasaro

CHADEMA 480
CCM 360Arumeru Mash. Mtaa wa Manyata

CHADEMA 168
CCM 91

Ubungo- Mbezi Yusuph
CHADEMA 190
CCM 163

Mwanga- Mtaa Mtahang'a
CHADEMA 116
CCM 73

Ilemela- Mtaa wa Pasiansi
CHADEMA 689
CCM 247

Karatu- Mtaa Mazingira
CHADEMA 290
CCM 130

Karatu Mtaa wa Maliasili
CHADEMA 240
CCM 77

Karatu- Mtaa wa Manyara
CHADEMA 220
CCM 170

Tarime Mtaa wa Bugosi
CHADEMA 438
CCM 138

Tarime Mtaa wa Regoryo
CHADEMA 191
CCM 75

Segerea Mtaa wa Migombani
CHADEMA 547
CCM 225

Mamlaka ya Mji mdogo Shirati-Rorya ina mitaa 9
CHADEMA mitaa 7
CCM mitaa 2

Mererani mitaa 8
CHADEMA mitaa 7
CCM mtaa 1
 

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,000
i chadema bado sana taarifa kutoka igunga. Kata igunga mjini inayoongozwa na chadema ccm vitongoji na mitaa 11 chadema 5,kata ya kinungu inayoongozwa na chedema CCM vitongoji 8 cjadema 1.vijiji vyote ccm.kata ya mbutu chadema kijiji 1 ccm 5 vitongoji vyote ccm.Kata ya kitangiri CCM vitongoji 18 chadema 2 vijiji vyote vitatu CCM.hakika CCM kuiangusha ni karne nyingi jamani looooohJ

C:C rosemarie haya matokeo mbona lugha gongana?
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom