Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Ccm wana hofu kweli wkt wameleta madream liner,Mara bombadia,Boeing uku stigeler George etc lkn bado wanahofu
 
Mnyika juzi kati vijana wa Kata ya msigwa wakamuweka kati kwa kuwadanganya na utapeli wa siasa ,viogozi kama mnyika wanao nenepa kama nguruwe na kutelekeza jimbo 2020watafute kazi ya kufanya

State agent
Wananenepa kwa sababu wana vyeti vyao,wanakula kutokana na jasho lao sio nyie mnaokula kwa kulamba miguu ya watawala,ccm oyee
 
bora wapinzani walivyojitoa watendaji watoke mafichoni wajumuike na familia zao,wafungue ofis na simu zao za mikononi
 
Kwa katiba iliyoko tutatendewa kila ubaya wala hakuna kitakachofanyika. Viongozi wa wapinzani mkiacha hili lipite hivi ndio imetoka June 2020 mkitoka Bungeni ageni kabisa kwani HAMTARUDI HAKIKA !!!!!
 
Ni kwamba baada ya kufanikiwa kuandikisha watu "feki" kwenye uchaguzi huu wa mitaa sasa TAMISEMI wakaona njia nzuri kukwepa aibu hii, bora wawape CCM kupita bila kupingwa .Nini maana ya kupita bila kupingwa. Ina maana hakuna uchaguzi kwenye hiyo mitaa.Hakuna uchaguzi kwenye hiyo mitaa kwasababu hakuna watu waliojiandikisha.
 
Ni kweli kabisa, ccm wanajigamba wanakubalika, ila watu wengi wamepuuza hilo zoezi maana ni ushenzi wa hali ya juu. Sasa kwakuwa wanajua fika watu watakuwa wachache, wanaona bora wagombea wapite bila kupingwa ili hiyo aibu ya kukosa wapiga kura waifiche.
 
Ni kwamba baada ya kufanikiwa kuandikisha watu "feki" kwenye uchaguzi huu wa mitaa sasa TAMISEMI wakaona njia nzuri kukwepa aibu hii, bora wawape CCM kupita bila kupingwa .Nini maana ya kupita bila kupingwa. Ina maana hakuna uchaguzi kwenye hiyo mitaa.Hakuna uchaguzi kwenye hiyo mitaa kwasababu hakuna watu waliojiandikisha.

Ndio ukweli, hakukuwa na watu wengi waliojiandikisha. Hivyo dawa ni kupita bila kupingwa.
 
Hatimaye nimefanikisha tena.

Mwaka jana kuna vijana walikuwa wananitisha eti hawatanipa kura zao kwenye nafasi niliyokuwa nayo ya uenyekiti wa mtaa, na baadhi waliniamsha usiku wa manane na nikichelewa kuamka wanasema eti walinipa kura zao niwanyenyekee.

Asante Magu, sasa wananchi hamtutishi na mikwara yenu,tumerudi madarakani, na huto tu kura twenu hatutuhitaji, mtupishe na mkome,mmetutesa sana miaka michache hapo nyuma, oooh! fanya kazi,vinginevyo tutakuondoa kwa kura, fyoko fyoko, sasa kwa taarifa yenu, huto tukura twenu mkae nato, tumepita bila kupingwa na hamuwezi kutufanya lolote

Mnatamba eti mamlaka yanatoka kwa wananchi, shwaini, asilimia 99 tumepita bila nyie

Sijakupangisha foleni unipigie kura wala sijauza sera yoyote kwako wala kukupa ahadi ya uchaguzi a.k.a ilani yangu, usiniulize mambo ya mabarabara,maji,afya na elimu na mengineyo, unaniuliza kwani ulinipigia kura? Niliuza Sera yoyote kwako? Unanibana kwa lipi mwanaizaya wewe? Akina mama mnaodundwa na waume zenu mnajaa milangoni kwangu usiku kisa mlinipa kura,mkome, safari hii wanamtaa na wanavitongoji na vijiji hamjatupa kura zenu,mkome kutusumbua

Ntarudi

Kigumu Chama cha mapinduzi
 
Dw
77414550_429484467740078_516728448588705826_n.jpeg
 
Back
Top Bottom