Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Analyses ni nyingi lakini naamini kwa umri wa CCM hawakustahili kuwa na viongozi wa ubora wa chini kiasi hiki. Hapa tatizo hata siyo Jafo au Magufuli. NI huko chini wanaotafuta kumpa furaha rais. Wanajikuta wanafanya mambo kama ya kindergarten.

Ni watu ambao ukiwatupia kamba hawawezi hata kujinyonga.
 
Wacha kujitekenya mwenyeo halafu ikawa unacheka pekeyako bara barani huo ni uchuzi umesahau wale watumishi wa uchaguzi wa serekali za mitaa walioitwa kule ikulu na akiwemo na pole pole
 
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Daud Bashite ambaye ndiye Naibu Rais kwa sasa na mkuu wa kitengo cha kamati ya ufundi ya mtukufu
 
Naibu Rais Daud Bashite anataka Nchi irejee kwenye mfumo wa chama kimoja wapate kutawala milele kama China Cameroon Uganda cuba , hataki kusikia vyama vingi
 
Wacha kujitekenya mwenyeo halafu ikawa unacheka pekeyako bara barani huo ni uchuzi umesahau wale watumishi wa uchaguzi wa serekali za mitaa walioitwa kule ikulu na akiwemo na pole pole
Andika unachotaka kusema. Mambo ya unakumbuka, unakumbuka mpaka lini? Hapa tunajadili wewe unaanza unakumbuka utadhani tunaishi familia moja. Write, argue!
 
Naibu Rais Daud Bashite anataka Nchi irejee kwenye mfumo wa chama kimoja wapate kutawala milele kama China Cameroon Uganda cuba , hataki kusikia vyama vingi
Tukubali tu kwamba na ubora wa upinzani nao uongezeke. We can't continue with such noise makers, with no previous convincing historical successful people. They are the best disco dancers and school runaways who pose like our guides to nowhere!
 
Vyama vingi vilianza mwaka 1992, katika kipindi chote hiki wagombea kupitia vyama vya upinzani wamekuwa wakijaza form za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia vyama vyao husika bila wagombea hao kuzuiwa Kwa wingi kugombea kutokana na fosari kwenye form za maombi.

Nini kimetokea safari hii wagombea Kwa mamia na maelfu wa upinzani kuenguliwa kutokana na sababu mbalimbali?

Shida ni wagombea wenyewe, vyama vyao au tume?

Uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa hausimamiwi na tume...
Kwa uelewa wangu ni kuwa msimamizi mkuu ni Ofisi ya Rais - TAMISEMI!
Na usisahau kuwa rais katokea ccm... Na huyo huyo Rais alifanya kikao kazi na watendaji wa kata wote (akiwa sambamba na yule H. Pole Pole).
Maazimio pengine ndo haya ya kuvuruga uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa!
 
Hawajakosea ndugu hayo ni maelekezo ya malaika mkuu, aliwaambia atakayepitisha mpinzani kwenye kata yake anafukuzwa kazi na pensheni yake halipwi sasa ndio wametii maagizo ya Jiwe, matokeo yake ndio hayo sasa.
 
1573452634277.png
 
Matunda yakuwa watuma na watawaliwa na CCM, kwa zaidi ya miaka 55 hayo. CCM OYEE..!!

Kuwa mzalendo kijana. Ipende CCM.

Unashangaa nini, ulishaona BASHITE akiandika kwa mkono wewe?!.
Tafuta zile karatasi alizokua anasoma majina tu ya watu uone, halafu uje tena hapa.
 
Tukubali tu kwamba na ubora wa upinzani nao uongezeke. We can't continue with such noise makers, with no previous convincing historical successful people. They are the best disco dancers and school runaways who pose like our guides to nowhere!
CCM inafahamu udhaifu wa wapinzani kuwa huwa wanataka pepo bila kukubali kufa. CCM/TANU haikukamata dola hivihivi kimchezomchezo kutoka kwa wakoloni. Baba wa taifa alikubali kuacha kazi yenye mshahara ili aende akadai uhuru ambao hakujuwa ungepatikana lini. Wapinzani wanadhani eti ni rahisi CCM iwaachie nchi hivihivi. Viongozi wa upinzani wana mali nyingi sana zinazohitaji huruma ya TRA na kulindwa na mfumo ulio chini ya CCM, viongozi hawakubali kufilisika kwaajili ya vyama vyao. Kwao wao vyama vya siasa ni kazi ya kujipatia kipato sawa na kazi nyingine, hii ni tofauti wakati wa akina mzee Nyerere. Ndiyo maana vyama vya siasa vya upinzani sio vyama madhubuti kwakuwa vinachanganya na biashara ndani yake. Ona akina waheshimiwa Slaa, Lowassa, Marando, Mrema, Lamwai, Cheyo, Mbowe, Mbatia, nk.
 
Wanajamvi Salam, Leo ndio ile siku tuliokuwa tukiisubili kwa hamu ili tuone zile shamrashamra zirizo zoeleka kwenye siku Kama hii ya uchaguzi.

Rakini Cha kushangaza hata Ware wafuasi wa chama tawala hawakuonyesha darili yoyote ile inayoashilia kuwa Leo kwao ndio siku muhimu ya kuwapata viongozi wao.

Badala yake kilammoja alikuwa busy na Mambo yake.

Sasa je nikweli watanzania waliowengi wameamua kupotezea siku yaleo kamanjia raihisi ya kufikisha ujumbe kwa waitendao haki.

Au ikiwa waliowengi wamepuuza uchaguzi huu Basi tukubaliane kuwa hii ni ishara tosha kuwa watanzania wengi niwaumini wa vyama vya upinzani, nawaza tu.😱😱😱😱
 
Back
Top Bottom