Ndugu Amos Kanuda ambaye ni mwenyekiti wa CCM wilaya ya nzega, amepata kichapo cha haja kutoka kwa wananchi waliokuwa wakisubiri matokeo katika kituo cha Ushirika shuleni jioni hii.
Alifanikiwa kutoa bastola yake kuwatisha wananchi lkn hawakujali waliendelea kumpa kichapo kwa kutumia mawe, fimbo na kila aina ya silaha waliyoweza kuifikia.
Hii imetokea mara baada ya yeye kulazimisha kuingia kwenye chumba cha kuhesabia kura jambo lililowaudhi wananchi.