Uchaguzi S/Mitaa 2014: Mwenyekiti CCM Wilaya ya Nzega ashambuliwa na wananchi wenye hasira

gichuri

Senior Member
Feb 13, 2013
161
225
Ndugu Amos Kanuda ambaye ni mwenyekiti wa CCM wilaya ya nzega, amepata kichapo cha haja kutoka kwa wananchi waliokuwa wakisubiri matokeo katika kituo cha Ushirika shuleni jioni hii.

Alifanikiwa kutoa bastola yake kuwatisha wananchi lkn hawakujali waliendelea kumpa kichapo kwa kutumia mawe, fimbo na kila aina ya silaha waliyoweza kuifikia.

Hii imetokea mara baada ya yeye kulazimisha kuingia kwenye chumba cha kuhesabia kura jambo lililowaudhi wananchi.
 

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,840
2,000
UPDATES MATOKEO MAENEO MBALIMBALI,
Mtaa wa Msewe, Ubungo
CCM 356,
CHADEMA 683

Mtaa wa Mjini, Karatu
CCM 109
CHADEMA 281
Mtaa wa TFA, Karatu
CCM 179
CHADEMA 358.
Mwenye matokeo zaidi aweke hapa.!!
CHANGE ni mimi, ni wewe, ni sisi.. TUNAWEZA!
 

samaki2011

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
1,776
0
Mimi nina uhakika upinzani kushinda kwa aslimia zaid ya 80 ila ksbb ya hujuma ushindi utapungua kwa kiasi fulani, huu ni mwendelezo mzr kuelekea 2015. Hongereni karatu
 

Mahara Nguku

Member
Dec 9, 2014
27
0
Kajitakia huyo, heri yake wamemhurumia, wapigwe tuu, si mizengo pinda kasema? maana tumechoka na wizi wa kura.:becky::cheer2:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom