Uchaguzi: Nani anaugharamia, Wachovu Bara au Fukara Zanzibar

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Tarehe 20 Machi 2016 Tanzania itaingia kwenye "Guinness book of records" kama nchi juha zaidi duniani

Nchi ya Tanzania inayonuka kwa umasikini inaingia katika sakata la ufujaji pesa bila ya sababu za msingi kwa kufanya marejeo ya uchaguzi usiokuwa na tija wala faida. uchaguzi ambao utaleta mtafaruku na mkwamo wa kisiasa badala ya utengemano.

1. Kama Zanzibar fukara ndio iliogharamia basi ni kuendeleza ufujaji wa pesa za wakulima wa Karafuu, hususan kutoka Pemba ambao tayari wameshaikataa CCM kwa 100% asilimia na kukipa ridhaa chama ch CUF kwa 100% asilimia. CUF tayari imejitoa kushiriki uchaguzo huo wanaowita batili.
2. Kama Bara wachovu iliogharamia , basi ni upunguwani wakati raia zake wanakufa na njaa, wanaishia kula zambarau na mbilimbi ili kuishi wnatokomeza pesa bure. wanafunzi wanakaa chini na wengine madarasa chini ya miti huku pesa zao ambazo zingeweza kupunguza matatizo yao zikipotea bila faida yoyote

Tanzania imekuwa nchi ya majuha : "Tanzania inataka kula omelet na kwa vile haina kuni basi imeamua kuezua paa la nyumba yake bila ya kujali athari ili ipate kuni" haijuulikani kama hiyo omelet wataila kweli.
 
Mkuu ndiyo maana mimi nilisema zanzibar ni mzigo kwa Tanganyika tuvunje muungano ukasema nakosea, baadaye ukiuona ukweli utakubaliana na mimi
 
Zanzibar haina uwezo hata kuilipa TANESCO,seuze kugharamia uchaguzi

Tanganyika huku watu wake wakiishi kwa kula viwavi na mbilimbi na nchi inanuka umaskini na ufukara kila sehemu ikidaiwa kufadhili "uchafuzi" huo

Akili ya nguruwe
 
Hivi ni kodi yangu kweli ndio inaenda kugharimia huo upuuzi?
Daaa,alaaniwe anayechezea jasho langu namna hii
 
Back
Top Bottom