Uchaguzi Mwenyekiti CHADEMA waibua makundi na uhasama

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Kama mtakumbuka takribani wiki mbili zilizopita Chadema Arusha kupitia katibu wake Amani Golugwa walitangaza kumvua udiwani dada yake Joshua Nassari na kutishia kuwavua uanachama wabunge saba.

Sasa imebainika fukuto hili lipo nchi nzima na kile kinachoitwa utovu wa nidhamu inatokana na idadi kubwa ya viongozi na wabunge kutoa hoja ya kutaka uitishwe uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kwani muda wake ulishakwisha huku ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikilaumiwa kumkingia kifua ndugu Mbowe.

My take.
Binafsi sioni haja ya Mbowe kutoitisha uchaguzi kwani hana mpinzani hasa ukizingatia Tundu Lissu ambaye haswa alitajwa kuwa mwenyekiti lakini kwa sasa kaogopa baada ya vitisho dhidi ya maisha yake.
 
Lisu akijitia kugombea ndio amekwisha kama wangwe

Kile chama ni mali ya wakaskazini tu

Dada yake Nasar alijifanya kupambana na maadui wa kakayake ameona jins Mtei clan na wandani wake walivyo na nguvu chamani

Mimi napendekeza uje ugombee uenyekiti CHADEMA. Maana unaipenda hadi basi. Tutakuelewa
 
Ndugu zangu,

Kama mtakumbuka takribani wiki mbili zilizopita Chadema Arusha kupitia katibu wake Amani Golugwa walitangaza kumvua udiwani dada yake Joshua Nassari na kutishia kuwavua uanachama wabunge saba.

Sasa imebainika fukuto hili lipo nchi nzima na kile kinachoitwa utovu wa nidhamu inatokana na idadi kubwa ya viongozi na wabunge kutoa hoja ya kutaka uitishwe uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kwani muda wake ulishakwisha huku ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikilaumiwa kumkingia kifua ndugu Mbowe.

My take.
Binafsi sioni haja ya Mbowe kutoitisha uchaguzi kwani hana mpinzani hasa ukizingatia Tundu Lissu ambaye haswa alitajwa kuwa mwenyekiti lakini kwa sasa kaogopa baada ya vitisho dhidi ya maisha yake.
Sacco's ya mtu binafsi, kwi kwi kwi!
 
Hapo ndipo wapinzani wanapokosea, wanadai demokrasia wakati wao hawana. Mbowe anakaribia miaka ishirini akiwa mwenyekiti. Zitto amechipachika ukuu wa chama cha ACT wazalendo wa kudumu asiyechaguliwa. Sisi waafrika tunakwama wapi? Tunawategemea wapinzani waonyeshe mfano wa demokrasia lakini wao ndio wanaoua demokrasia.
 
Kwani singida uko kusini mashariki?
Lisu akijitia kugombea ndio amekwisha kama wangwe

Kile chama ni mali ya wakaskazini tu

Dada yake Nasar alijifanya kupambana na maadui wa kakayake ameona jins Mtei clan na wandani wake walivyo na nguvu chamani
 
Waonaotaka Mbowe atoke leo kesho ndio mnasema wanamkingia kifua Mbowe , Msqjili wa vyama eti anamkingia kifua Mbowe ni vichekesho vya msimu huu.
 
Kwa ustaarabu Mbowe sasa hivi anatakiwa amwachie Mwananchama mwingine nafasi ya uenyekiti.
unasema..?ni lazima uwe umeoa au kuolewa na familia mojawapo za ndani kabisa..na hasa katika ukoo ule wa yule mzee mwenye chama chake
 
Lisu akijitia kugombea ndio amekwisha kama wangwe
Kile chama ni mali ya wakaskazini tu
Dada yake Nasar alijifanya kupambana na maadui wa kakayake ameona jins Mtei clan na wandani wake walivyo na nguvu chamani

We ni mseng* kweli.

Mimi ni mwanachama wa CCM na ni wa Kaskazini.

Sipo chadema.

Kama unataka kukijenga Chama Cha Mapinduzi acha ubaguzi.

Unaposema chadema ni cha Kaskazini una maanisha nini?

Kwamba mimi wa Kaskazini ambaye ni mwana CCM niende chadema??

Kabla ya kuandika ushenzi fikiri kwanza, pumbavu sana!
 
Back
Top Bottom