Uchaguzi 2020 Uchaguzi mwaka huu utakuwa mgumu kwa CCM

Hata mi pia huwa najiuliza swali hili mbona huku mitandaoni tu kila mtu anakitaa ccm sasa iweje wajisifie kuwa wananchi wanawakubali ni qananchi wa nchi gani hiyo!?? Hiii hiii ya Tanzania au Burundi!!??
Mi huwa najiuliza hawa wanaosema wananchi wanaipenda ccm huu utafiti wanaufanya wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usishangae wale wakongwe chamani wakakimbilia upinzani wakaanza kuishambulia tena ccm
Huu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli chake chenyewe. Kwa sasa CCM haina mvuto kwa wananchi kilichobaki ni kujiaminisha kwamba chama kinapendwa.

(1) Wachumia matumbo CCM ni janga la chama
(2) Wapenda sifa wamepata pa kuonyesha mbwembwe zao
(3) Waimba mapambio nao hawajabaki nyuma.
Binafsi sioni sababu ya kusifia sifia vitu wakati huku wananchi wako hoi.

Mh Rais wangu mpendwa ukiruhusu mikutano ya kisiasa ndio utagundua usajili unaofanywa na wasaidizi wako ni wa hovyo na wala sio wa kukutakia ushindi mnono.

Ni vyema chama kihangaike na kuongeza wanachama sio hawa walafi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wanapokataa tume huru ya uchaguzi kwao wana sababu ya msingi sana na hilo unalolisema wewe wanalifahamu kuliko unavyofikiri.

Ccm kama chama cha siasa kiliishatoweka ulingoni siku nyingi na hii iliyopo haina hata chembe ya chama cha siasa kwani kina sifa zote za "Militant Grouping or Guerilla Organization".

Hakuna chama hapo, hivi vyama vya upinzani ndivyo vina "Temperament" ya kuitwa vyama vya siasa. Ona hata Magufuli, ametoka kuwa rais na kushuka hadi kuwa kama Mtemi wa jadi. Bure kabisa.
 
Wajenga hoja wapo lakini chama kimehodhiwa na mtu mmoja..
Inabidi wafuate matakwa yake ambayo mara nyingi ni kinyume cha katiba ya JMT na katiba ya chama chenyewe.

Tunayo safari ya kuvumilia mateso hadi aondoke.
Mkuu bila shaka ulikuwa unamaanisha Mbowe wa Chadema au sio? Maana yote yamemlenga kabisa!
 
Kipimo chepesi ni hivi Halima Mdee afanye mkutano kawe na Rais Magufuli afanye mkutano Uwanjwa wa taifa wa mpira aone asivyopendwa mbona atajikataa mwenyewe.

Tena huo mkutano wa Magufuli kuwe na vinywaji na msosi wa bure, halafu wa cdm kusiruhusiwe hata kuuzwa maji. Lakini huo mkutano wa Magufuli watajaa wazee na vijana wanaosaka maslahi binafsi. Ila huo wa Halima Mdee utajaa vijana wenye hamasa wanaotaka mabadiliko ya kweli.
 
Tena sio kwamba hakuna mshindani, bali hutaki mshindani kutokana na kuwa huwezi ushindani. Na hiyo jeuri inatokana na matumizi mabaya ya madaraka, yanayopatikana kupitia katiba iliyopitwa na wakati.
Uko sawa Mkuu...
Binafsi huwezi tofautisha CCM na Alqaida, Alshabab, Bokoharam na hata ISIS...

Angalia mauaji ya kikatili yafanyikayo kwa viongozi, wanachama na mashabiki wa CDM. Je, nn tofauti ya mauaji hayo na Yale yafanywayo na vikundi vya Kigaidi nilivyovitaja hapo juu? Silaha pekee ya CCM ni vitisho, mauaji ya kikatili pamoja na Jeshi LA Polisi.

Ndo maana adui mkubwa wa CCM siku zote ni CDM na Tume huru ya Uchaguzi.....na hawaitaki CDM kwavile wanafahamu fika inakubalika kwa Umma kuliko CCM...

Wakitaka kujua Magufuli na CCM yao hawakubaliki kwa Wa-Tz, basi iundwe Tume huru kusimamia uchaguzi mwaka huu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu usajili unaofanyika sasa utakigharimu chama, sijaona hata mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja.kwa sasa usajili ni wa makapi tu. Chama hakiwezi kujijenga kwa kujipima na kivuli chake chenyewe. Kwa sasa CCM haina mvuto kwa wananchi kilichobaki ni kujiaminisha kwamba chama kinapendwa.

(1) Wachumia matumbo CCM ni janga la chama
(2) Wapenda sifa wamepata pa kuonyesha mbwembwe zao
(3) Waimba mapambio nao hawajabaki nyuma.
Binafsi sioni sababu ya kusifia sifia vitu wakati huku wananchi wako hoi.

Mh Rais wangu mpendwa ukiruhusu mikutano ya kisiasa ndio utagundua usajili unaofanywa na wasaidizi wako ni wa hovyo na wala sio wa kukutakia ushindi mnono.

Ni vyema chama kihangaike na kuongeza wanachama sio hawa walafi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mbana hakuna vigezo kuonyesha huo ugumu kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom