CCM hatuna washabiki na hatutaki washabiki wa kisiasa. CCM siyo club na haitaweza kuwa club ya kisiasa yenye washabiki. Hawo washabiki wa kisiasa unaowasema tunawaachia ninyi CHADEMA.
CCM tunahitaji wananchi wanaozijua sera zetu na waichague CCM kwa sera zake na siyo kwa ushabiki. CCM haitaki maisha na mstakabali wa taifa ugeuzwe kuwa ushabiki. Every citizen who entitled to vote have only ONE vote after FIVE years. This is very expensive vote na haiwezi kugeuzwa kuwa ushabiki.
Haya mawazo ya kibavicha bavicha ni janga la Taifa.
Mkuu, kiingeredha chako kigumu!! hadi nimetoka kapa, ni cha wilaya gani ya TZ. Kwa nini usingeandika lugha ya Kiswahili ukaeleweka vizuri kuliko hicho ulichokiandika, ni aibu, sijui ni cha wapi?