Uchaguzi Mkuu Zambia: Mpinzani Hakainde Hichilema aongoza katika Majimbo 15

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Matokeo ya Awali yaliyotangazwa na Tume inayosimamia Uchaguzi Nchini humo mapema leo yameonesha Mpinzani Hakainde Hichilema anaongoza kwa Kura

Amepata Kura 171,604 huku Edgar Lungu anayetetea nafasi ya Urais akipata Kura 110,178. Matokeo hayo yanajumuisha Majimbo 15 kati ya 156 yaliyopo Nchini humo

Kati ya 15 hayo, baadhi yalionekana kuwa Ngome ya Lungu, hatua ambayo imeonekana kuashiria nguvu ya Hichilema imeongezeka tangu Uchaguzi wa mwaka 2016

======

Zambia's opposition leader Hakainde Hichilema took an early lead in the country's presidential election over incumbent Edgar Lungu, according to the first results from the electoral commission early on Saturday.

Hichilema tallied 171,604 votes versus the 110,178 garnered by Lungu in the results for 15 of the southern African nation's 156 constituencies.

Those 15 constituencies include perceived Lungu strongholds, suggesting that Hichilema has gained ground since the last elections in 2016, when he lost by a slim margin in contested elections marred by allegations of rigging by Lungu.

A total of 296,210 votes were cast in those constituencies, representing a 71.75% turnout rate, chief electoral officer Patrick Nshindano told a media briefing in the capital Lusaka.

The first results, initially expected on Friday, were delayed after counting went on overnight due to the huge voter turnout and because political parties objected to the electoral commission’s initial figures in one constituency, which differed with those from monitors on the ground.

The Electoral Commission of Zambia allowed the last polling station to remain open until 5 a.m. (0300 GMT) on Friday to give people who queued for hours an opportunity to cast their ballots amid restrictions on internet access and violence in three regions.

An estimated 7 million people registered to vote in presidential and parliamentary elections that saw top contender Hichilema, a successful businessman, challenge Lungu's attempt to win a second five-year term.

Source: Reuters
 
Unaongoza Majimbo 15 kati ya majimbo 156
Bado wasijigambe, wanaandaliwa kisaikolojia
 
Hiyo ni strategy tu ya kuwafanya wapinzani watulie. Majimbo yajayo mtashangaa chama tawala kinanyakua kwa kishindo. Uchaguzi kwa nchi za Africa bado sana kuna mazonge zonge.
 
Nilikuwa naongea leo na mama mmoja mzambia kwa voicemail, ananiambia wazambia wengi wanataka mabadiliko kwani watu wamepigika sana kiuchumi.

Kwa Tanzania wananchi sio wa kulaumu kwani ccm ndio inayoandaa mchakato wote wa uchaguzi nchini Tanzania na tena yenyewe kujitangazia ushindi sasa kwa mazingira hayo utalaumje wananchi kwa sababu ccm wana maana yao mpaka kuamua kunyakua jukumu la tume ya uchaguzi.
 
Safi kabisa ,chama kikizingua kinawekwa pembeni ,sio chama kimechoka na mifumo yake yote lakini bado kinanh'ang'ania madalaka hata kwa kuua .Lo!

Ccm wajitafakari
 
Back
Top Bottom