UCHAGUZI MKUU: TFF yatoa majina ya wagombea waliopitishwa na waliotemwa

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF) limetoa orodha kamili ya majina ya watu watakaoshiriki kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika mwezi ujao.

Nani yumo, nani hayumo? Tazama majina.

Wachambuzi karibuni tupeane nondo..

WhatsApp Image 2017-07-09 at 13.32.52.jpeg
WhatsApp Image 2017-07-09 at 13.33.05.jpeg
WhatsApp Image 2017-07-09 at 13.33.12.jpeg
 
Ila hapo kwa malinzi kwani aliacha kwenda kw makusudi?


simuungi mkono malinzi lakini kwa hili namuonea huruma
 
Hahahah wale watetezi wa malinzi naona

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hahahah wale watetezi wa malinzi naona

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Uwezi kuwa na harufu ya rushwa alafu uendelee kutuongoza haiwezekani kwa kweli,Malinzi kasweka lockup tu tumefika nusu final cosafa je wakimfunga si tunaenda world cup?
 
Hivi Miwani haioni tena

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Bora jingajinga tumbo jizi limetupwa nje ya tff likaangukia keko sijui segerea litajijua lenyewe. Sasa taifa stars itaanza kupanda viwango japo vya kati vya fifa.
 
Aisee...Mayai vs Mwakalebela mpambano mkali
Huku kwenye unakamu naona kama Wambura Michael atatusua...tusubili
 
Ila hapo kwa malinzi kwani aliacha kwenda kw makusudi?


simuungi mkono malinzi lakini kwa hili namuonea huruma
Sio makusudi ila kanuni inasema usipofanyiwa usaili huwezi Ku qualify kuwa candidate

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja huku alikuwa anamwazishia kila wakati thread za kumsapoti malinzi but now amepoa na kupotea kabisa!
Hizi ni habari mbaya sana kwa huyu mfuasi wa mtakatisha pesa..
 
Back
Top Bottom