Uchaguzi mkuu kufanyika kabla ya okt 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mkuu kufanyika kabla ya okt 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JoJiPoJi, Aug 9, 2009.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  kwa wale wanaotaka kugombea uongozi ktk uchaguzi mkuu ujao wamejiandaaje iwapo mh rais atalazimika kuvunja bunge kutokana na serikali yake kushindwa kutekeleza maazimio ya bunge, inawezekana rais akachukua uamuzi huo ili kuwapoteza mafisadi ili wasipate muda wa kurudi kwa wananchi ili kuwalaghai,
   
 2. m

  msabato masalia Senior Member

  #2
  Aug 9, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ni tetesi au wewe unafikilia hivyo?
   
 3. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika Serikali usije kutegemea hilo linawezekana
   
 4. R

  Rayase Member

  #4
  Aug 9, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nadhani hayo ni mawazo kubomoa zaidi kwa nini tusubiri mpaka serikali ivunjwe?
   
Loading...