Kenya 2022 Uchaguzi Mkuu Kenya 2022 Kwanini Wakikuyu?

Kenya 2022 General Election

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Wagombea wa vyama vikubwa kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya 2022 wameweka wagombea-wenza (Running mates) toka kabila kubwa la Wakikuyu.

Aidha, mgombea-mwenza wa Kenya Kwanza Mhe. Rigathi George Gachagua amepatikana na tuhuma za kufisadisha $65ml sawa na Euro 53ml. Hii inawezakuwa kikwazo kwake kama akithibitika Mahakamani maana mgombea anatakiwa kwa matarajio ya wapigakura kuwa mtu safi. Mhe. Ruto naye ana jalada The Hague la mauaji ya 2007 - 2008, na nyumbani tuhuma za uhaini.

Wapigakura wanatakiwa kuwa makini wasifanye kosa katika uchaguzi huu, nchi haifanyiwi majaribio kama ya karata tatu.
 
Excerpt from JK Nyerere oratory.

‘I’m a good Mzanaki, but I won’t advocate a Kizanaki-based political party. ... So I’m a Tanzanian, and of course I am Mzanaki; politically I’m a Tanzanian, culturally I’m Mzanaki.’ (Sandbrook & Halfani eds. 1993: 31-32).
 
Wakikuyu ndio waliopigana vita vya maumau kuikomboa Kenya, Kenya ni nchi yetu sisi wakikuyu, makabila mengine ni "second citizens" hapa Kenya. Kumbuka ukabila hapa kwetu ni muhimu kuzidi hata dini zetu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mko na Dini nyinyi Waafrika? Dini za Waarabu na Wazungu mnaziita zenu.
Niliwahi kuishi Lodwar Turkana.

Kanisani, uchaguzi wa Wazee wa Kanisa ilibidi usimamiwe na OCD aliyejaza maaskari kwenye Defender 3.

Waturkana hawakusoma, lakini wanataka kwamba Kanisa ni lao, liko kwao, wamechoka kutawaliwa na Wakikuyu na Wajaluo kwenye Baraza la Wazee.

OCD aliamua kwamba yeye ndiye atashikilia kwa muda nafasi ya Katibu wa Baraza ambayo ndiyo ilikuwa kaa la moto hadi amani irejee, japokuwa OCD hakuwa wa dhehebu hilo.

Hiyo ndiyo KENYA HAKUNA MATATA!
 
Sijaelewa maudhui ya huu uzi wako na ndio maana wengi wanaupuuza, umeachwa unachangia mwenyewe.....
Ndio, ukabila tunajua upo Kenya na tunaendelea kuupunguza, wewe hapo umeng'ang'ania kunyooshea kidole na kusahau ya kwenu tunayafahamu kwa mlivyo wanafiki, ukabila kwenu upo ila kimya kimya sana hata makanisani

20180622_055646.jpg
 
Takwimu hazisemewi na mtu.

Replies: 15
Views: 439
Reaction Score: 5

Nashukuru kwamba unataka uamshe michango maana kama hujaelewa screenshot ya nini? Isipochangiwa leo itachangiwa miaka ijayo pia, inawezekana JF.

Je, screenshot yako iko relevant na mada? Kama iko relevant basi ina maana umeelewa maudhui ya mada, japo unachangia irrelevantly.

Kinyume na hapo unafanya direct attack kwa Wakatoliki humu na nje ya humu!

Sitaki tu kukuza makuu ila michango yako iko humu humu inayokutambulisha wewe ni nani na uko wapi japo unajificha kwamba ni Mkenya ili u-divert mada kwenda kwenye udini.

Natambua pia kwamba wewe ni mtetezi imara sana, mahiri zaidi na shujaa mkubwa wa dini yenu ile mnayokulana-tigo.

Kwa taarifa yako, kama kuna Kanisa litakuwa la mwisho kabisaaaa kupasuka ni Roman Catholic. Hata dini yako hiyo pia mnayokulana-tigo itakuwa ya kwanza kupasuka na Roman Catholic ya mwisho. Mimi pia niko kwenye dhehebu (siyo RC) lenye mivutano isiyoisha kama ilivyo dini yako.

Usahihi:
1. Pengo alipumzika Uaskofu wa Jimbo Kuu Katoliki Dsm (kupunguziwa majukumu kutokana na afya na umri).
2. Anaendelea ku-retain Ukardinali wake hadi mauti.
3. Kardinali ni mkubwa kuliko Askofu (Pengo bado ni mkubwa kuliko Ruwaichi)
4. Viongozi wa dini ya Kikristo wa cheo chochote hawastaafu jumla, wanaendelea na huduma hadi wapeleke hesabu kwa Mungu (wako kama wanajeshi wa ngazi za juu), ndiyo maana wakifa wanazikwa na Biblia, Joho, Mshipi, Stola, Kofia na Fimbo kama ni Askofu, na wanagongewa kengele mara 40 kama itifaki ya mazishi ya kiongozi wa kiroho (rais anapigiwa mizinga 21), 40 Kibiblia ni ukamilisho, yaani amekamilisha kazi ya huduma.
5. Muadhama Pengo ameokoa mengi nchi hii, historia itamkumbuka hadi dahari. Chunga usijeenda kumsujudia utapojitambua baadaye huko kama Gwajima.

Sasa nadhani kuanzia hapa utakoleza/utaamsha michango ambayo umesema watu hawachangii, vinginevyo ukae kimya ili madai yako kwamba watu wameupuuza uzi yaendelee kuthibitika kuwa ni kweli.
 
Eti unauliza kuhusu maudhui? 😄 Ya nini jombaa, wakati lengo ni kujaza servers tu na maupuuzi ya aina yote?
 
Hehehe! Bora umeonyesha rangi haswa ya nini ulikua unakitafuta, sijasoma liinsha lote hili, nimeishia hapo umesema dini yetu wanakulana tigo, nafikiri kuanzia hapo utapata wachangiaji uache kuhangaika kuchangia uzi wako mwenyewe kuzidi wenzako......
 
Back
Top Bottom