UCHAGUZI mkuu JF

Hivi wakuu hili jina la Tanganyika lilitokana na nini..??Nimejaribu kutafuta kila kona na sijafanikiwa kupata asili yake...
 
He,he,he.., wewe pepo toka katika jina la yesu,toka,ushindwe na ulegee na aliye kutuma ashindwe kwa jina la yesu
 
Mzee Tupatupa
Join Date : 16th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 317
Likes Received69
Likes Given11

halafu unataka uchaguzi ufanyike! hivi umesoma conditions za kujiunga Jf? unajua jinsi Jf inavyo operate?
anza darasa upya

Mkuu kumbuka hapa tupo chitchat. mia
 
Last edited by a moderator:
Hivi wakuu hili jina la Tanganyika lilitokana na nini..??Nimejaribu kutafuta kila kona na sijafanikiwa kupata asili yake...

Tanga na Nyika ni aina ya samaki waliokuwa wakipatikana Ziwa Tanganyika mkuu(sina uhakika kama bado wanapatikana), mmoja(nadhani ni Nyika) kati yao alikuwa ni mkorofi na ni kazi kweli kumvua na mwingine ni mpole.
Kama unakumbuka vizuri kuna vifuko vya chumvi zamani kidogo kulikuwa kuna mchoro wa samaki ana mdomo mrefu kama msumari halafu mapezi yake mgongoni yanaonekana yamechanua hivi.(yule ndiye Nyika)
Hii ni nukuu toka kwa J.K Nyerere
 
Asili yake Tangaaaa yalikozaliwa mapenzi

hahaha duh!....waja leo waondoka leo na Raha Leo

Tanga na Nyika ni aina ya samaki waliokuwa wakipatikana Ziwa Tanganyika mkuu(sina uhakika kama bado wanapatikana), mmoja(nadhani ni Nyika) kati yao alikuwa ni mkorofi na ni kazi kweli kumvua na mwingine ni mpole.
Kama unakumbuka vizuri kuna vifuko vya chumvi zamani kidogo kulikuwa kuna mchoro wa samaki ana mdomo mrefu kama msumari halafu mapezi yake mgongoni yanaonekana yamechanua hivi.(yule ndiye Nyika)
Hii ni nukuu toka kwa J.K Nyerere

Kwa maelezo hayo kinzani hapo juu nadhani ipo haja ya kuanzisha mada inayojitegemea kwa swali hili,na kama mada hiyo ilishawahi kuletwa hapa jukwaani basi naomba link kwa faida ya wengine pia
 
Back
Top Bottom