Uchaguzi Mkuu Congo: nani Rais wa halali kati ya Kabila na Tshisekedi?

Tume ya uchagu imeahirisha kutangaza matoke ambayo mpa dakika hii anaongoza kabila kwa 59.8% dhi ya 34% za mpinzani wake wakaribu!
Baada ya masaa 48 ndipo yatatangazwa rasmi! Hii imetokana na vurugu zilizopelekea watu 18 kuuwa tangu juzi!
 
Viongozi wa Kiafrika nao, ving'ang'anizi. Wacha wazichape tu.
 
DR Congo's 30 million-plus registered voters are awaiting the announcement of the election results with trepidation.

This follows the suspension of text messages on mobile phone networks and a declaration on Sunday by the electoral commission that its website had been hacked.

The government justified the suspension of SMS messages on grounds of security and as a precaution against political disturbances at a particularly volatile period.

"The government noticed that some political parties are using the SMS messages to refuse to accept the results," declared Mr Adolphe Lumanu, the vice-prime minister in charge of Internal Affairs.

While some Congolese found it alright for the government to block text messaging at this politically tense time, many among the youth, especially in the eastern city of Goma, took a dim view.

In their view, blocking SMS did not make sense when people were free to use other social networks like Facebook and Twitter to communicate.

Others like Mr Bakungu Mitondeke, an opposition-leaning politician, weighed in on the harm the measure would do to telecommunication companies and for business in general.

The reported hacking of the electoral commission's website prompted the agency to suspend partial publication of results on the website.

Mr Daniel Ngoy Mulunda, the commission's chairman, said the website had been hacked by unknown persons who published false figures in favour of leading opposition candidate Etienne Tshisekedi.
 
hivi karibuni tumesikia hali ya drc congo ilivyokuwa tete.Na mzee wetu tendwa yuko katika lile baraza la uchaguzi congo hivi maamuzi ya lile baraza hamuoni linaweka nchi yetu katika kipindi kigumu na drc.
 
lazima wachakkachue hilo tunalijua .. damu ya wakongo i mikononi mwao na Mungu atawaadhibu kwa hii damu
 
Bw Joseph Kabila ametangazwa mshindi wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo muda mfupi uliopita. Kulingana na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo Joseph Kabila ameshinda kwa asilimia 48.95, mpinzani wake mkuu Etienee Thisekedi akiwa na asilimia 32.33 na Vital Khemere naye akipata asilimia 7.74. Matokeo hayo yalitarajiwa kutoka siku ya Jumanne lakini maafisa walisema matatizo ya kusambaza vifaa katika nchi hiyo kubwa ndio yalisababisha ucheleweshaji huo. Wakati huo huo usalama umeimarishwa iwapo patatokea ghasia kufuatia madai ya udanganyifu.
 
Walijua hilo ndio maana wakampoteza mapema, ila Kabila kapata somo kwa kweli, kapelekwa pelekwa sana mara hii
ile nchi ina utajiri wa asili kuliko Tanzania,ila inatia huruma.Kabila hajafanya lolote kwanza si mcongolais ndo maana hana uchungu
 
ile nchi ina utajiri wa asili kuliko Tanzania,ila inatia huruma.Kabila hajafanya lolote kwanza si mcongolais ndo maana hana uchungu

Tatizo la wenzetu wale ni nature ya nchi yao. Ni nchi kubwa na sehemu kubwa ni milima au misitu sasa inakuwa ngumu sana kwenye suala la miundombinu kama barabara, reli nk. Sehemu kubwa ya nchi haifikiki kiurahisi kutoka mji mkuu Kinshasa sasa ni ngumu sana maendeleo kuwa evenly. Kweli maeneo mengi yana utajiri wa madini au misitu ila hakuna coordination na madini na misitu yananufaisha watu wachache waliowahi maeneo tu.

Kwa kiongozi yoyote kuweza ni lazima kwanza acheze na hilo swala, na ahakikishe anakusanya kodi maana wenzetu pia kwa swala la kodi ni tatizo maana hakuna huo utaratibu na hiyo kidogo inayopatikana inaishia mifukoni.
 
President Joseph Kabila has won the Democratic Republic of Congo's election, provisional results show.

He obtained 49% of the vote against 32% for veteran opposition leader Etienne Tshisekedi, the election commission chief said.

Mr Tshisekedi has rejected the results and declared himself president, raising fears of violent protests

The announcement of results has been delayed since Tuesday, with election officials blaming logistical problems.

DR Congo is rich in minerals such as gold, diamond and coltan, which is used in mobile phones. But years of conflict and mismanagement mean it recently came bottom of a survey of living standards around the world.

Riot police are patrolling the streets of the capital, Kinshasa, seen as an opposition stronghold in this country which is still recovering from years of conflict in which some four million people died.

The BBC's Noel Mwakugu says the mood in opposition districts of Kinshasa is quiet and sombre.

Many shops and stalls in the city's markets have been closed for most of the week.

"The Independent National Electoral Commission certifies that candidate Kabila Kabange Joseph has obtained the simple majority of votes," said election commission chief Daniel Ngoy Mulunda.

On Thursday, he said the results had been delayed again in order to "assure the credibility" of the numbers.

In the eastern city of Goma, people started to celebrate as soon as the results were announced on national TV and radio, reports the BBC's Joshua Mmali in the city.

Mr Kabila enjoys greater popularity in eastern areas, where his origins lie and where he is credited with helping to end the war.

However, he is less popular in the west, partly because he is not fluent in the local Lingala language and because some see him as representing foreign interests.

Mr Tshisekedi dismissed the result as an "outright provocation to our people".

"I consider myself from this day on as the elected president of the Democratic Republic of Congo," he said in a statement.

Referring to his supporters as "fighters", he said: "I urge you to stick together as one man behind me to face the events that will follow."

Amid fears of a violent reaction to the results, the chief prosecutor at the International Criminal Court this week warned all sides that engaging in electoral violence would not be a ticket to power but a ticket to The Hague.

The results still have to be ratified by the supreme court.


Source: BBC
 
Back
Top Bottom