Uchaguzi Mkuu CCM:: MAAMUZI YA NEC:: Wenye kupitishwa wapitishwa, wengine watupwa

Nachotaka kujua,,,how wajumbe wa kamati ya maadili clean they are?????kwa yeyote aniambie,na pia niwajue kwa majina yao,wakwanza BABA MWANAISHA AKA MWANAASHA

.
Chenge nae yumo!! Hapa ndipo inapokupa picha halisi ya ni kipi ''maadali'' ndani ya sisiem.
.
 
Lazima kinuke.....Dodoma!!...habari zilizopo nikuwamwaga watu kibao ili ngome ya El iingie katika maamuzi ya juu!!
 
ccm inafia mkononi mwa jk hata iweje. subirini uchanguzi 2015 ndio mtajua ccm kama ni mfu
 
Hujasikia JK amesema wanaosema cm inakufa wanaota ndoto za mchana? halafu wakati anayasema hayo hakuwa anawaangalia watu, alikodolea makaratasi mezani na kuyachezea, sijui kumaanisha nini.
 
Kikwete leo amefungua kikao cha NEC ya CCM kilichotanguliwa na Kamati Kuu na Kamati ya Usalama na Maadili. Amewaacha mdomo wazi akina Lowassa aliposema wamekata majina ya watu wengine japo wanazo sifa na wengine wamepungukiwa sifa kwa makusudi ili kujenga chama chenye ari mpya na vijana wengi wasomi ambao ndiyo future ya chama hicho. Aliwamaliza zaidi aliposema "tunaunda timu ya ushindi wa chama na si timu ya ushindi wa mtu." hapa kama ni kisu basi kimegonga mifupa ya akina Lowassa wakabaki midomo wazi nilikuwa nawatazama vizuri walivyokaa katika siti moja Lowassa, Sumaye na Kingunge huku wapambe wao akina Mgeja wakilia kupoteza nafasi. Tena Kikwete amewaeleza anajua mjadala wa kwa nini fulani kakatwa jina na mwingine yupo utakuwepo lakini chama kwanza na anayetishia kuondoka ccm kwa kukatwa jina atangulie mapema wanamtakia kila la kheri, anasema anashangazwa na mtu anapoanza kusema chama kibaya pale anapokosa fursa ya uongozi. Ritz upo? asubuhi niliona umeleta uzi wa kumsifu Lowassa.
 
Msikini Lowasa. Kwaheri baba. Mshahara wa zambi za kisiasa ni mauti ya kisiasa. Masikini Regina Lowassa. Pole mama. You are beautiful but oohh well!

Ama kweli Kikwete ni kinyonga.


regina.jpg
 
...Hakuna kitu chochote, huyu zuzu na msanii tuu. Kwani umesahau mbwembwe za kujivua gamba, alisema nini na later nini kilitokea. Anawazingua watu kama nyie kirahisi, lkn subiri uje uone. Angekuwa na nia ya kweli hasingeteua hao jamaa, TRA au kule maliasili ambao ni watu wa karibu wa EL...!!
 
Mbona unamtaja Lowassa kwani kamwagika?
Na kwa taarifa yako katika CCM hakuna wa kumchinjia baharini Lowassa!
Na ikitokea hivyo basi umauti wa CCM ni hapo katika uchaguzi wa NEC, 2015 tunawazika tu.
 
Hao vijana wanaondaliwa ni wepi, Nchemba? au Ngeleja? Au Adam Malima?
 
EL ni kweli hayupo kundi la vijana nywele zote zimegeuka Nyeupe kama karatasi
 
Back
Top Bottom