Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
652
829
Nawaza tu!

1. Kama hali ya Corona ikiendelea hivi with social distancing, kutakua na shamra shamra za kampeini nchi nzima?

2. Hali ikiendelea hivi wanachi watajitokeza kupiga kura?

3. Gonjwa hili likiendelea mpaka uchanguzi KUTAKUA NA WAANGALIZI WA KIMATAIFA WATAKAO KUJA NCHINI?
Na kama tutalazimisha uchaguzi, tutafanya bila wasimamizi wa kimataifa?
Chama gani kitafaidika kwa kutokuwepo waangalizi wa kimataifa?

4. Je nini kipaumbele chetu kama taifa UHAI WA WATU WETU NA AFYA ZAO au UCHAGUZI!
 
Nawaza tuuuuuu!!!!

1. Kama hali ya Corona ikiendelea hivi with social distancing, kutakua na shamra shamra za kampeini nchi nzima?

2. Hali ikiendelea hivi wanachi watajitokeza kupiga kura?

3. Gonjwa hili likiendelea mpaka uchanguzi KUTAKUA NA WAANGALIZI WA KIMATAIFA WATAKAO KUJA NCHINI?
Na kama tutalazimisha uchaguzi, tutafanya bila wasimamizi wakimataifa?
Chama gani kitafaidika kwa kutokuwepo waangalizi wa kimataifa?

4. Je nini kipaumbele chetu kama taifa UHAI WA WATU WETU NA AFYA ZAO au UCHAGUZI!
Iwe mvua iwe jua lzm tuamue hatma yetu Kama ni kubadili dereva au kuendelea na dereva
 
Mkuu corona inakaribia kwisha ondoa wasiwasi
Kura tutapiga

Kwa sasa hivi chini ya awamu hii ya tano hakuna uchaguzi, bali kuna kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi katika kupata madaraka. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kushiriki huo uhuni uitwao uchaguzi. Wangalau kukiwa na tume huru hapo ndio watu wengi wanaweza kujitokeza kupiga kura.
 
Sijui kwa nn mnatabisa ya kuchukua jukumu la kusemea watu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom