Uchaguzi mkuu 2020 utakuwa kimbembe, wagombea mnaojaza kuwa wafanyabiashara malizaneni na TRA mapema

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
20,621
Points
2,000

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
20,621 2,000
Uchaguzi 2020 wale mpendao kujaza fomu za kugombea udiwani,ubunge na uraisi kuwa kazi zenu zinazoweza kipato ni wafanyabiashara wa chochote jiandaenini na Mahesabu yenu ya kodi mlizolipa

Mnaojaza kwenye fomu kuwa Ni wakulima muwe tayari kuonyesha mashamba yenu mnayolima yanayowafanya muishi

Mengine siandiki
 

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,472
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,472 2,000
Uchaguzi 2020 wale mpendao kujaza fomu za kugombea udiwani,ubunge na uraisi kuwa kazi zenu zinazoweza kipato ni wafanyabiashara wa chochote jiandaenini na Mahesabu yenu ya kodi mlizolipa

Mnaojaza kwenye fomu kuwa Ni wakulima muwe tayari kuonyesha mashamba yenu mnayolima yanayowafanya muishi

Mengine siandiki
Chini ya jiwe hamna uchaguzi bali kuna zoezi la kuonyesha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,472
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,472 2,000
Chini ya awamu hii hakuna kula ruzuku pesa za watanzania bora wakajengee zahanati kuliko kuwapa watu wakale na wake zao

State agent
Hilo utajua we na wote wanaotegemea ruzuku kuendesha maisha yao. Sijawahi kula hata senti tano ya serikali toka niwe mtu mzima kupitia mlango wa siasa. Na wala sijawahi kufanya kazi yoyote na taasisi yoyote ya serikali, hivyo pesa za serikali sio sehemu ya kuendeshea familia yangu.
 

Levels baby

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Messages
779
Points
1,000

Levels baby

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2019
779 1,000
Kama mazingira ni haya haya hatutajiandikisha kushiriki huo ushenzi. Vyama kama vyama watakuwa na mtazamo wao, mimi sio mwakilishi au msemaji wa chama chochote. Lakini mimi na watanzania wengine wanaojitambua hatuwezi kushiriki upuuzi wowote.
Basi ngojeni 2025 tuchukue nchi wazee wa demokrasia turud kwenye ushindani tena hawa waliopo hawawez kushindana mana presha hawaziwez
 

Forum statistics

Threads 1,382,065
Members 526,268
Posts 33,818,864
Top