Uchaguzi Mkuu 2020: Je, yaliyotokea chaguzi za marudio, ndio itakuwa picha halisi 2020?

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,629
2,288
Wakuu habari za majukumu.

Kama yaliyotokea kwenye chaguzi za hivi karibuni za marudio, yaweza kuwa ndo picha halisi ya uchaguzi mkuu 2020. Kama dalili ni hizo hizo kwa kasoro zilivyoonekana kwa baadhi ya mawakala wa upinzani, 2020 upinzani unaweza zikwa rasmi.

Sijajua mpaka sasa wana mkakati gani wa kujikwamua, lakini wabunge wa sasa na madiwani wa upinzani uhakika wao kurudi ni mdogo.
 
Acha kupoteza muda kwenye mitandao ya kijamii nenda kawashauri hao viongozi wa vyama vya Siasa ambao Mawakala wao walizuiliwa wakuambie sababu nini? Uchaguzi Mkuu uko palepale hauwezi kukwamishwa na wajinga wachache wasiotaka kufuata sheria za nchi.

Pia hawa wabunge wajue tu wanapimwa kwa utendaji wao na si vinginevyo kama mbunge anajijua kabisa hakuna alichowafanyia wananchi wake ajiandae kupigwa chini mchana kweupe hii ndio Tanzania.
 
Pia hawa wabunge wajue tu wanapimwa kwa utendaji wao na si vinginevyo kama mbunge anajijua kabisa hakuna alichowafanyia wananchi wake ajiandae kupigwa chini mchana kweupe hii ndio Tanzani
Acha mihemko ya kisiasa wewe mdada. Tulia
 
Acha kupoteza muda kwenye mitandao ya kijamii nenda kawashauri hao viongozi wa vyama vya Siasa ambao Mawakala wao walizuiliwa wakuambie sababu nini? Uchaguzi Mkuu uko palepale hauwezi kukwamishwa na wajinga wachache wasiotaka kufuata sheria za nchi.

Pia hawa wabunge wajue tu wanapimwa kwa utendaji wao na si vinginevyo kama mbunge anajijua kabisa hakuna alichowafanyia wananchi wake ajiandae kupigwa chini mchana kweupe hii ndio Tanzania.

Haki huinua Taifa, Bali dhambi ni Aibu ya watu wote!!! Quote from Caroline Hans
 
Acha kupoteza muda kwenye mitandao ya kijamii nenda kawashauri hao viongozi wa vyama vya Siasa ambao Mawakala wao walizuiliwa wakuambie sababu nini? Uchaguzi Mkuu uko palepale hauwezi kukwamishwa na wajinga wachache wasiotaka kufuata sheria za nchi.

Pia hawa wabunge wajue tu wanapimwa kwa utendaji wao na si vinginevyo kama mbunge anajijua kabisa hakuna alichowafanyia wananchi wake ajiandae kupigwa chini mchana kweupe hii ndio Tanzania.
Acha kujitoa ufahamu
 
Yaani wembe ni uleule liwe jua au mvua joto au baridi, au punda achemke au afe mzigo mnaujua unatakiwa kufika
 
Kutakua na kuumizana kwingi saaana aiseee. Damu nyingi Sana, Mungu atuokoe
 
Ukiona kuna wabunge hata watano tu wanarudi bungeni kwa tiketi ya chadema 2020 basi ujue watakuwa wameshinda na urais. Watake wasitake 2020 wote wanapigwa chini ili tuwashughulikie vizuri.
 
..DAMU aliyomwaga itamuandama wakati wa kampeni.

..waTz watakuwa wanachagua kati ya mgombea aliyetapakaa damu, na mgombea mwenye nia ya kuwaunganisha na kutunza amani yao.
 
mbunge ambaye angalau anaweza kuruka hicho kiunzi ni LISSU NA SUGU.Wengine kuchaguliwa kazi itakuwepo kubwa
 
Back
Top Bottom