Paw
Content Manager
- Nov 14, 2010
- 2,109
- 1,360
JF imekuwa sehemu salama na sahihi kwa watu wengi wanaoitembelea kwa makusudio mbalimbali yakiwemo Kupata taarifa mbalimbali na hata kushirikisha jamii taarifa mbalimbali....
Pamoja na kwamba katika wengi hakukosekani mengi, lakini mara zote JF imekuwa mahala sahihi na chaguo la wengi.
Neno langu ni moja tu.
Siku ya Jumapili tarehe 25/10/2015 Taifa la Tanzania litapitia katika mtambuka wa kutafuta kiongozi mpya wa taifa hili kupitia sanduku la kura. Mikakati ni mingi, miradi ni mingi na hata kupitia vinywa vya wahusika wengi tumesikia mambo mengi sana. Hivyo niwaombe bila kujali itikadi za kila mmoja wetu. Tusimame kuiombea AMANI Tanzania. Sababu za kuleta ombi hili kwenu ni kwa sababu zifuatazo
Tuiombee nchi
Tuiombee Tanzania
Tudumishe amani
Kuna maisha baada ya uchaguzi
========================================
NB
Sijaweka hili bandiko kwa niaba ya JF

- Matamko na matendo yanayohatarisha utulivu na amani ya nchi kipindi cha uchaguzi
- Kupitia midomo ya wanasiasa wameonyesha kuhamasisha wanaowaunga mkono kufanya kile wakitakacho hata kama kinaweza kuleta dosari katika amani ya nchi.
- Waathirika wakubwa wa matukio ya uvunjwaji wa amani siyo wavunja amani bali wanawake, watoto, wazee na wasiojiweza....
Tuiombee nchi
Tuiombee Tanzania
Tudumishe amani
Kuna maisha baada ya uchaguzi
========================================
NB
Sijaweka hili bandiko kwa niaba ya JF