Uchaguzi mdogo Zanzibar

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
152
Wote tunajua kuwa kuna mbunge kutoka Zanzibar amefariki ila sijasikia uchanguzi kule utafanyika lini! Kama utafanyika basi itakuwa nafasi nyingine adimu kuwaelezea wazanzibari wanachokosa katika Uongozi wao yaani viongozi bora na sio viongozi wachumia tumbo waliopo sasa. Kwahiyo ninataka kukumbusha kwamba changuzi ndogo bado zipo na vyama viendelee kujipanga ili tuone demokrasia ya kweli nchini.
 
Hivyo basi sitegemei kusikia ''ooOh tumetafiti na tumeona upinzani unauwezekano wa kushinda ila sisi tutakisapoti chama kimoja kitakachowakilisha upinzani'' nasema hivyo kwasababu tumeona Igunga kama sera hii ingetumika na Cuf uachiwa kuwakilisha upinzani, sisiem wangeshinda kiurahisi.
 
Wote tunajua kuwa kuna mbunge kutoka Zanzibar amefariki ila sijasikia uchanguzi kule utafanyika lini! Kama utafanyika basi itakuwa nafasi nyingine adimu kuwaelezea wazanzibari wanachokosa katika Uongozi wao yaani viongozi bora na sio viongozi wachumia tumbo waliopo sasa. Kwahiyo ninataka kukumbusha kwamba changuzi ndogo bado zipo na vyama viendelee kujipanga ili tuone demokrasia ya kweli nchini.
 
Chadema ipeleke pua iangukie masaburi. Kule hamna mtu anayefagilia magwanda yenu.
 
CUF na CCM yake waongee waachiane jimbo .Sasa Jimbo lina watu 200 nalo jimbo hilo .Chadema wana kazi kubwa ya kuikomboa Tanganyika .
 
Chama kinachosimamia demokrasia na maendeleo ya wananchi wa tanzania lazima kishiriki ktk uchaguzi huo bila kujali kuwa chama cha wananchi wa unguja na pemba kimekubaliana kwenye muafaka na chama cha serikali ya mapinduzi kuwa wataendelea kutawala kwa kupokezana!!
 
CDM tusipeleke Mgombea mpaka muafaka wa muungano ujulikane. Vinginevyo Zanzibar si nchi yetu.
 
CUF na CCM vyote vyama tawala. Jimbo hilohilo lina mbunge. Aliyekufa ni MUWAKILISHI. Tupunguze gharama kwa kukubaliana tu. Marehemu alikuja huku Bunge la Muungano kupitia zile nafasi tano za Baraza la WAWAKILISHI. Hivyo uchaguzi uliopo ni wa muwakilishi.
 
Natamani ile meli ya Viungo vya Visiwani ingepinduka na Wabunge wa kuchaguliwa kama watatu hivi ili uchaguzi mdogo uhamie Zanzibar.
 
Yule ni Mwakilishi wa Ndugu wa jimbo la Zanzibar..Na kwa wakatu huo ni Mbunge wa kuteuliwa toka baraza la wawakilishi Zanzibar..Sasa sijui hoja ya kusimama itakuwa kama mwakilishi au mbunge??? Ila itakuwa mwakilishi..Acha tuone...
 
Back
Top Bottom