Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao.

Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize hao watu laki moja na zaidi katika uchaguzi huu mdogo walipiga kura usiku au walipanga foleni wapi?

Lakini pia tujiulize walioandikishwa walikuwa ni wangapi? Upo uwezekana waliopiga kura Ni zaidi ya waandikishwa au wanatofautiana kwa kiasi kidogo Sana kwa sababu hakuna kura zilizohesabiwa Bali mwenye tume ametamka tu.
 
Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuqcha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao.
Huko ushetu CCM na ACT pekee wamepigowa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize hao watu laki moja na zaidi katika uchaguzi huu mdogo walipiga kura usiku au walipanga foleni wapi?

Katiba tuliiweka pembeni, kwanza tujenge uchumi hatuwezi tukakaa eti tunahesabu kura badala ya pesa. Kwenye uchsguzi kitu muhimu mshindi amepata kura ngapi na aliyeshindwa anapewa kiasi cha kura.
 
Ndio machadema mnafeli kila siku!

Ulifikiri utawaona wakati muda wote unashinda Kwa Maria space
 
Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuqcha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao.
Huko ushetu CCM na ACT pekee wamepigowa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize hao watu laki moja na zaidi katika uchaguzi huu mdogo walipiga kura usiku au walipanga foleni wapi?

Lakini pia tujiulize walioandikishwa walikuwa ni wangapi? Upo uwezekana waliopiga kura Ni zaidi ya waandikishwa au wanatofautiana kwa kiasi kidogo Sana kwa sababu hakuna kura zilizohesabiwa Bali mwenye tume ametamka tu.
Hapo ni suala la kula sio kura
 
Tume unasema walio jiandikisha Ni 160,000
 
Ndio machadema mnafeli kila siku!

Ulifikiri utawaona wakati muda wote unashinda Kwa Maria space

Nimecheka vibaya, huo uchaguzi kama wapiga kura wamejitokeza sana, basi hawazidi 5,000. Ndio maana CCM wanalialia Cdm kususia huo ukhanithi kwani wanajua ile siri yao kuwa huwa wanashinda kwa wizi inazidi kukaa hadharani. Hiyo idadi kidogo ndio mara zote huwa kura za CCM. Huu ni ushahidi kuwa muenda kuzimu amedharaulisha sana zoezi la uchaguzi wa viongozi, matokeo yake hata chama chake hakifaidiki na ule ushenzi wake.

Nenda huko twitter, Zito chama chake kimeshiriki lakini anazungumzia uchaguzi wa konde tu, tena kwa fedheha maana anajua fika umma hauridhishwi tena na mwenendo wa uchaguzi. Uchaguzi wa konde wapiga kura ni chini ya 5,000 lakini ndio unaozungumziwa, huku uchaguzi wa Ushetu wenye data za kupika kuwa wapiga kura wamejitokeza 100,000+ hakuna hata picha! Ukweli kuwa Cdm ndio chama halisi chenye ushawishi wa kisiasa hapa nchini, uko wazi peupe.
 
Bora hata chama cha Zitto kuliko hilo chama lenu la kususa!

Huwa nacheka sana mnasusa kwenye chaguzi ndogo ila uchaguzi mkuu mnapeleka pua zenu
 
Uchaguzi haufanyiki JF na MARIA SPACES.....🤣

Mpira huwa unafanyika hapo kwa Mkapa uwanja usiozidi washabiki 60,000 lakini wanaonekana, leo hii watu 100,000 wajitokeze na technology yote hii hata picha hakuna!

Ni hivi, ukweli uko wazi, CCM sio chama cha kizazi hiki ndio maana kinalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti, matokeo yake ndio hayo hata wapiga kura hawajitokezi tena kukupigia kura. Ccm naifananisha na mwanamke mzee anayejipaka Mkorogo na kuvaa nguo fupi ili kuvutia wanaume, lakini uso hauvitii tena, kiasi kwamba wanaume wanaomfuata ni wale wenye ukame, au wafuata pesa lakini mvuto haupo tena.
 
Zito hana namna lazima ashiriki huo uchaguzi kwani ni chama kilichoanzishwa na genge la Msoga line kama back up ya ccm iliyochoka. Anashiriki uchaguzi kisha idadi ya wapiga kura inapikwa, na hata yeye hana furaha na uchaguzi wenyewe kwani wapiga kura hawapo.
Bora hata chama cha Zitto kuliko hilo chama lenu la kususa!

Huwa nacheka sana mnasusa kwenye chaguzi ndogo ila uchaguzi mkuu mnapeleka pua zenu
kwa taarifa yako uchaguzi wa SM za mitaa tulisusia, dhalimu akawaghilibu Mbatia na Lipumba ili Cdm ikisusia awape viti vya Hadaa kisha ionekane Cdm imesusia bure. Kilichotufanya kujitokeza kupiga kura japo kwa uchache ni ujio wa Tundu Lisu, na kwenye uchaguzi ule dhalimu alipata matokeo ambayo yalimuacha na msongo wa mawazo, ambao wakati wa kampeni ndio alianza kuugua kwa kuuona ukweli wa nguvu ya Cdm. Na kwa sasa kama tume ya uchaguzi haitobadilika, hata Cdm kama chama wakisema wanashiriki hatutajitokeza. Hatuna muda wa kutaka wenzetu wauwawe, ama kubaki na vilema vya maisha kutokana na kushindana na vyombo vya dola, huku ccm tunayopaswa kushindana nayo imeshakata pumzi. Mtatoka madarakani kwa njia nyingine, hii ya kura ni kuwarahisishia vyombo vya dola kuumiza watu.
 
Zito hana namna lazima ashiriki huo uchaguzi kwani ni chama kilichoanzishwa na genge la Msoga line kama back up ya ccm iliyochoka. Anashiriki uchaguzi kisha idadi ya wapiga kura inapikwa, na hata yeye hana furaha na uchaguzi wenyewe kwani wapiga kura hawapo.

kwa taarifa yako uchaguzi wa SM za mitaa tulisusia, dhalimu akawaghilibu Mbatia na Lipumba ili Cdm ikisusia awape viti vya Hadaa kisha ionekane Cdm imesusia bure. Kilichotufanya kujitokeza kupiga kura japo kwa uchache ni ujio wa Tundu Lisu, na kwenye uchaguzi ule dhalimu alipata matokeo ambayo yalimuacha na msongo wa mawazo, ambao wakati wa kampeni ndio alianza kuugua kwa kuuona ukweli wa nguvu ya Cdm. Na kwa sasa kama tume ya uchaguzi haitobadilika, hata Cdm kama chama wakisema wanashiriki hatutajitokeza. Hatuna muda wa kutaka wenzetu wauwawe, ama kubaki na vilema vya maisha kutokana na kushindana na vyombo vya dola, huku ccm tunayopaswa kushindana nayo imeshakata pumzi. Mtatoka madarakani kwa njia nyingine, hii ya kura ni kuwarahisishia vyombo vya dola kuumiza watu.
Mkasusia hata ule 2020 uliokuwa unasimamiwa na dhalimu wako?

Mbona kuna mtu alitoka ubelgiji mbio mbio kuja kushiriki huo unaouita uhuni?
 
Kwa kweli huu ni Uongo..Nimeongea na Mzee Pinda Mizengo muda mfupi ,anadai hamasa na muitikio wa watu kipindi cha Kampeni,ulikuwa chini mno na haijajulikana Chanzo Cha hali hiyo,japo yeye ameshauri tathimini ifanyike ndani ya CCM.Sasa hiyo Idadi ya Wapiga kura na Kasi ya kuhesabu!!!!?
 
Zito anachanja mbuga kuelekea wapi? Hao Wapemba walikuwa hawaichugui CCM toka mfumo wa vyama vingi na wala sio kwa ushawishi wa Zito. Ungesema kwenye chaguzi nyingine zote za marudio ukiacha huko kwa wapemba ni wapi hata kaonyesha kufurukuta? Unaongea kama vile Cdm iko kwenye mashindano na ACT na sio kuwa against chaguzi za kishenzi.
ha mnatapatapa.

Zitto ndio huyo anachanja mbuga huku nyie mkitiana moyo kupitia maria space
 
Back
Top Bottom