kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao.
Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize hao watu laki moja na zaidi katika uchaguzi huu mdogo walipiga kura usiku au walipanga foleni wapi?
Lakini pia tujiulize walioandikishwa walikuwa ni wangapi? Upo uwezekana waliopiga kura Ni zaidi ya waandikishwa au wanatofautiana kwa kiasi kidogo Sana kwa sababu hakuna kura zilizohesabiwa Bali mwenye tume ametamka tu.