Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

Zito anachanja mbuga kuelekea wapi? Hao Wapemba walikuwa hawaichugui CCM toka mfumo wa vyama vingi na wala sio kwa ushawishi wa Zito. Ungesema kwenye chaguzi nyingine zote za marudio ukiacha huko kwa wapemba ni wapi hata kaonyesha kufurukuta? Unaongea kama vile Cdm iko kwenye mashindano na ACT na sio kuwa against chaguzi za kishenzi.
Against chaguzi zipi za kishenzi?

Hivi huwa mnashiriki vipi chaguzi za kishenzi?

Mnajibaraguza kutoshiriki chaguzi ndogo ila kwenye uchaguzi mkuu mnahiriki tena kwa nguvu zote, hivi huwa hui ushenzi umeisha?

Unachekesha yani ni sawa na mtu kusema huwa sili kitimoto bali huwa nakunywa mchuzi tu.
 
Sioni hata kama unaelewa naongea nini, maana unachoongea kiko irrelevant na ninachosema.
 
Sioni hata kama unaelewa naongea nini, maana unachoongea kiko irrelevant na ninachosema.
Yani unachoongea na mnachokitenda ni vitu viwili tofauti.

Ni hivi, susieni chaguzi zote ukiwemo uchaguzi mkuu siyo mnasusia nusu nusu
 
Back
Top Bottom