Uchaguzi mdogo: Kuna uwezekano CHADEMA wameshapoteza majimbo ya Monduli, Ukonga na Buyungu hata kabla ya uchaguzi

IKO HIVI BROTHER USIANGAIKE SANA KUUUMIZA AKILI YAKO NA MOYO WAKO KUHUSU CHADEMAA.........

SISI KAMA CHADEMA HATUNA SHIDA YOYOTE HATA TUKIPOTEZA MAJIMBO YOTE NCHINI HATA IKIFIKIA HATUA TUKAWA HATUNA MBUNGE WALA DIWANI SISI KWETU NI POAAA TUU.

ILA SHIDA IPO KWENU KWA NYINYI WENZANGU NA MIMI AMBAO MMEZOEA KUPEWA PESA ZA BURE KWA AJILI YA KUPAMBANA CHADEMA SASA SIJUI KAMA CHADEMA IKIFIKAA SIJUI MTAPAMBANA NA NANI
Umefikiria mbali sana mkuu. Kuna watu ajira zitapotea halafu wanashabikia kifo cha mama anayewanyonyesha.
 
Unaweza kufanya huo upumbavu unaouita mbinu za medani bila support ya vyombo vya dola!? Halafu kuna wakati unaandika kama mtu mwelewa lakini kuna wakati kama hapa unaandika kama shabiki maandazi vile. Unaandika watu wa vijijini wanaipenda CCM wakati wewe mwenyewe umekiri awali majimbo hayo yalikuwa upinzani? Hao waluowapigia kura awali walitoka mjini? Siku hizi umeacha kusifia Kazi yako ya polisi unajificha ficha ukidhani tumekusahau?
Upepo umegeuka au huoni hayo mawimbi upande wa pili.....sijui kama unaweza kuzuia mawimbi ya bahari....
 
IKO HIVI BROTHER USIANGAIKE SANA KUUUMIZA AKILI YAKO NA MOYO WAKO KUHUSU CHADEMAA.........

SISI KAMA CHADEMA HATUNA SHIDA YOYOTE HATA TUKIPOTEZA MAJIMBO YOTE NCHINI HATA IKIFIKIA HATUA TUKAWA HATUNA MBUNGE WALA DIWANI SISI KWETU NI POAAA TUU.

ILA SHIDA IPO KWENU KWA NYINYI WENZANGU NA MIMI AMBAO MMEZOEA KUPEWA PESA ZA BURE KWA AJILI YA KUPAMBANA CHADEMA SASA SIJUI KAMA CHADEMA IKIFIKAA SIJUI MTAPAMBANA NA NANI
ARE YOU SURE?
 
tutatumia mbinu zote wewe endelea kulalamika wakati umelala tu halafu unategemea kumlisha ng'ombe siku ya mnada eti anenepe....kamwe utaishia kuuza kwa bei ndogo tu.....CCM ilishawekeza vya kutosha vijijini....
Ndio imewekeza ujinga vijijini. Kwa hiyo kura wanazipata lakini maendeleo hakuna! Utapataje maendeleo toka kundi LA wajinga?
Wa mjini wajanja wale wachumia tumbo mambo yakienda kombo anapiga sana kelele za kulaani kisha anatangaza kuunga mkono juhudi na kujiunga kisha analamba bingo.
 
1.5t ziko wapi?

Haijawahi kutokea hiyo. Kwanza walichomekea baada ya kubanwa kuwa 200b zimepelekwa ZNZ. Lakini serekali ya Znz kupitia bunge wakakanusha kupokea hizo hela. Baadae ikatakiwa ripoti ya PAC kuhusu hela hizo, ripoti ile mpaka leo imepigwa kimya. Hapa jivunie uoga wa wananchi kuhoji na sio uaminifu wa serekali.
 
Ndio imewekeza ujinga vijijini. Kwa hiyo kura wanazipata lakini maendeleo hakuna! Utapataje maendeleo toka kundi LA wajinga?
Wa mjini wajanja wale wachumia tumbo mambo yakienda kombo anapiga sana kelele za kulaani kisha anatangaza kuunga mkono juhudi na kujiunga kisha analamba bingo.
Maendeleo yanakwenda kasi sana vijijini nyumba za nyasi siku hizi ni za kuhesabu tofauti na miaka ya sitini na sabini,maji,vituo vya afya na shule ni za uhakika miaka hii barabara zina nafuu kubwa sana nguo zinapatikana chakula kipo cha kutosha unataka nini zaidi
 
Kwani ukiwa macho ndiyo utabadili matokeo....endelea kulalamika tu na macho yako mawili wakati wenzako wanapeta
Hivi kupeta kwa wizi nako unajisifia? Hiyo ni sawa wewe tatum uwe shoga na uanze kujisifu kuwa "nyie semeni tu natiwa lakini mie napeta nala bata!"
 
Hivi kupeta kwa wizi nako unajisifia? Hiyo ni sawa wewe tatum uwe shoga na uanze kujisifu kuwa "nyie semeni tu natiwa lakini mie napeta nala bata!"
sasa wewe ikiambiwa hayo maneno na hauko hivyo shida yuko nini si unaendelea kula bata......na kuwaacha wanaopiga kelele waendelee kupiga hizo kelele zao ......tunachoangalia sisi ni ushindi tu hayo mengine yakwenu nyie msiojiamini wala kuwa mipango ya ushindi.hata shuleni kama hujajipanga vizuri mtihani utafeli tu.
 
Mungu anipe maisha marefu coz huko mbele kuna mengi sana tutayaona
 
Na Jimbo la Korogwe vijijini ndo kabisa upinzani walishashindwa toka mwaka 2015 sidhani kama sasa wataweza.
 
Hayo mbona yanaboreshwa kila iitwapo leo...au miaka ya 80 na leo ni sawa mbona kuna hatua kubwa sana zimepigwa....Rais Magufuli anaondoa ile mentality ya kula pesa ya umma halafu mtu anaona ni kawaida kama ilivyokuwa utawala wa nyuma
Utawala upi na ni chama kipi kilikuwa madarakani na sasa ni chama kipi kipo madarakani? Nani alimteua kugombea kama siyo hao unaowang'ong'a na ambao wametungiwa hata nyimbo?
 
Utawala upi na ni chama kipi kilikuwa madarakani na sasa ni chama kipi kipo madarakani? Nani alimteua kugombea kama siyo hao unaowang'ong'a na ambao wametungiwa hata nyimbo?
Hata kama chama ni kilekile lakini watu ni tofauti na huyu wa sasa anawashughulikia wa chama chake waliokuwa wanakwenda kinyume na sheria taratibu na kanunni (STK) zilizowekwa
 
Mada hii najua hamuipendi kabisa lakini ndo ukweli wenyewe ...tunasubiri mbinu zenu za leo na cc yenu ili tujipange kivingine.
 
Back
Top Bottom