Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,437
- 113,445
Wanabodi,
Kwenye siasa, lazima tukubali tukatae kuna maeneo yanayoitwa "strong hold" ya chama fulani, mfano jimbo la Moshi Mjini, hata CCM ikeshe usiku na mchana kwa mwaka mzima, hawawezi kuiondoa Chadema!. Vivyo hivyo kwa chama cha CUF, strong hold yake ni Pemba, hata CCM ipige kampeni ya usiku na mchana kwa muda wa mwaka mzima, haiwezi kuambulia kitu, au kuing'oa CUF. Vivyo hivyo kwa maeneo ya maeneo fulani fulani ya Mwambao, Chedema haina kitu, ndio maana kwenye ule uzi wangu "mwiba" niliposema "[h=3]CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!"[/h]", niliwashauri Chadema Peke Yao, kamwe hawawezi kulitoa madarakani hili "dubwana CCM!", hivyo ili kuishinda CCM lazima Chadema wakubali ushirikiano na wengine wenye lengo la kukupata kupata na kukosa "win win situation" kwa kukubali kutokusimamisha mgombea na badala yake kumuunga mkono mgombea wa chama kingine anayekubalika zaidi!.
Uchaguzi huu mdogo wa jimbo la Chalinze ni mmoja wa mifano hai!.
Hakuna ubishi kuwa CCM imechokwa, na katika baadhi ya maeneo, imechokwa mpaka basi, lakini lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya maeneo, CCM inapendwa, na kuna mengine, inapendwa mpaka basi, hivyo kwa baadhi ya maeneo ambapo CCM inapendwa mpaka basi, Chadema kusimamisha mgombea its not only its a wastage of time and money, bali kutaka kujiabisha tuu!.
Kuna baadhi ya shule za private, mwanafunzi kabla hajapokelewa, humpatia amplitude test kumpima IQ yake, wakimkuta iko low, hapokelewi ili kulinda image ya shule husika maana wanajua kumpokea mwisho wa siku ataishia kuiletea aibu tuu hiyo shule!. Naamini ndicho kilichoikumba shule ya Fedha kumpokea mwanafunzi mwenye jina kubwa, mwisho wa siku, ikawapata aibu!. Vivyo vivyo kwa Chadema, wanapaswa kuilinda public image yao ukanda wa Pwani, kwa kujiepusha na aibu, hivyo ni bora wamuunge mkono mgombea wa CUF amba kwa mambo ya pwani, wanaweza kuitingisha CCM, japo kupata ushindi ni aghlabu sana!.
Siku zote "Umoja ni Nguvu" na "utengano ni udhaifu", moja ya matatizo makubwa ya Chadema ni "umimi", hivyo hii sasa ni fursa kwa Chadema kuonyesha spirit ya ushirikiano na wengine, hata kama huwapendi, but you have to work together against the common enemy!.
Jimbo la Chalinze, kunaweza kutokea zali kama lile la Lindi kwa CCM kupigiwa kura ya chuki, hivyo CUF kuweza kushinda kama CCM itamsimamisha mgombea kutokana na jina la mzazi wake na sio uwezo wake!.
Huu ni ushauri tuu wa bure!. Sisi wengine tusio na vyama, kazi yetu ni kushauri tuu, ushauri ukubalike, ukatalike, makes no diference to me, ila baada ya matokeo ya kutosikiliza ushauri, nitakumbushia nilishauri nini, na nini kimetokea!.
Mnaweza kuangalia hapa mwaka 2010 niliishauri nini CCM, walifanya nini na nini kilitokea.
QUOTE=Pasco;1259846]
Dawa pekee ya kuitibu CCM, ni kuirevamp CCM completely, task nambari moja ni Makamba should go first with his old guards team. Msisubiri mpaka uchaguzi mkuu wa chama chenu, miaka miwili ijayo (2012), itakuwa too late. If you are to du anything, doi it now and fast!. Leteni fresh blood kina January type, Kippi, Nape type and the like ambao wanaweza siasa za kisasa za dot com type.[/QUOTE]
Hapa tena nikaishauri nini huyu mtu, akafanya nini, na nini kikatokea!.[h=3]Ushauri: Lowassa Asikanyage Arumeru!, Atamponza Sioi!.[/h]
Chadema lazima mjifunze kusikiliza!.
Pasco.
NB. Pasco wa jf sio mwanachama wa chama chochote cha siasa wala taasisi yoyote ya kijamii, ni Mtanzania ambaye hajaajiriwa na yoyote, hamtumikii yoyote, wala hawajibiki kwa yoyote, bali mwenye mapenzi makubwa na Taifa lake!.