Uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki kufanyika Mei 19

Tume ya uchaguzi imetangaza tarehe 19/05/2019 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru mashariki lililoachwa wazi na Joshua Nassari.

Source ITV habari!
Naona ulitingwa sana na Jpili
IMG_20190331_202159.JPG
 
Madhara ya kupata madaraka mtoto halafu ukawa hujitambui na kudhani kuwa ilikuwa ni halali yako na waweza kufanya lolote kumbe ilikuwa ni ngekewa tuu!!!!!! unaleta kautetezi dhaiiifu!!! eti mke wangu mara familia kwanini hukufuata utaratibu!!!??? hizo ni power ulipewa na wananchi sasa wanazichukua unarudi zero!!! uheshimiwa kwisha habari yake
 
Sio Utoto Ni ujinga

Miaka 34 Ni Mtoto?

Colonel Ghadafi kachukua Madaraka Libya akiwa Na 26 1969 Na akaweza kutawala

Dr Salim Ahmed Salim kuwakilisha Nchi Egypt akiwa Na 21

Dr Hassy Kitine kawa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa akiwa Na 28

Huyu Kijana alikuwa hajielewi alilewa sifa Hata kuifuatilia Michango yake Bungeni hakuwa Na kitu special zaid ya Kubebwa kwa Kuwa kwake Na Umri mdogo sio vinginevyo

Ukiacha ushabiki Pamoja Na Shule zao ndogo Sugu Na Lema walikuwa Na contents zenye maana Kuliko Huyu Graduate
 
Chukua balimi nakurushia muamala. Nassari asurubiwe
Sio Utoto Ni ujinga

Miaka 34 Ni Mtoto?

Colonel Ghadafi kachukua Madaraka Libya akiwa Na 26 1969 Na akaweza kutawala

Dr Salim Ahmed Salim kuwakilisha Nchi Egypt akiwa Na 21

Dr Hassy Kitine kawa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa akiwa Na 28

Huyu Kijana alikuwa hajielewi alilewa sifa Hata kuifuatilia Michango yake Bungeni hakuwa Na kitu special zaid ya Kubebwa kwa Kuwa kwake Na Umri mdogo sio vinginevyo

Ukiacha ushabiki Pamoja Na Shule zao ndogo Sugu Na Lema walikuwa Na contents zenye maana Kuliko Huyu Graduate
 
Huyo dogo amezingua sana, kama alitaka kuunga mkono juhudi angehama tu, ni haki yake ya kikatiba, unapofanya jambo halali huna haja ya ku behave kama mhalifu!
 
Wapinzani wameiachia nafasi kwa makusudi hivyo ni zamu ya CCM.

Mgombea apite bila kupingwa!

Shindaneni na CUF maana imedhihirika hamuwezi ushindani wa kisiasa. Kuliko muache watu na vilema ni bora mtangazazwe washindi bila ridhaa ya umma, kisha hao wabunge wajiandae kumtangaza Magufuli rais wa maisha Tz.
 
Sio Utoto Ni ujinga
Miaka 34 Ni Mtoto?
Colonel Ghadafi kachukua Madaraka Libya akiwa Na 26 1969 Na akaweza kutawala
Dr Salim Ahmed Salim kuwakilisha Nchi Egypt akiwa Na 21
Dr Hassy Kitine kawa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa akiwa Na 28
Huyu Kijana alikuwa hajielewi alilewa sifa Hata kuifuatilia Michango yake Bungeni hakuwa Na kitu special zaid ya Kubebwa kwa Kuwa kwake Na Umri mdogo sio vinginevyo
Ukiacha ushabiki Pamoja Na Shule zao ndogo Sugu Na Lema walikuwa Na contents zenye maana Kuliko Huyu Graduate
Hivi kwa huu upuuzi wenu mnaouchorachora humu JF mnajihisi mna akili sawasawa?
 
Back
Top Bottom