Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Ahadi yangu ya kutembea uchi Magwanda ikishinda iko palepale
Ahahahahaaah!! Hatukufahamu tupe jina lako halisi, lakini magwanda wanaongoza katika vituo vitano mpaka sasa, matokeo ya awali.
 
Cdm ikishindwa Livingstone Lusinde anywe sumu kama alivyo ahidi. akigoma akamatwe na kunyeshwa kwa nguvu, ili iwe funzo kwa walopokaji wengine ndani ya zzm hii kauli ili tukela wapenda maendelo.

sahihisho kidogo hapo ni CCM
Twende kazi mkuu..
 
channel ten live-Matokeo yameanza kutoka kwa mawakala wa vyama kupitia SMS
Reporter channel ten Tabora
 
Baadhi ya vituo vimeshamaliza kuhesabu kura ila bado wahusika hawajaruhusiwa kuyabandika
 
Mungu endelea kubariki mambo yaendelee hvyo hvyo kwa Cdm ili ushindi upatikane
 
Mtatiro wa CUF analonga channel ten kwamba waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana,wanasubiri matokeo kutoka kwa mawakala
tatizo la watu kutojikoeza ni la serikali,watu hawana elimu ya uraia
 
Ni maneno yaliyotamkwa na paroko katika kanisa kubwa la hapa Igunga, Udini unalipasua taifa letu masikini!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom