Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Mawakala wa vyama vyote walikuwa wanatiliana shaka lakini baada ya kutambulishana issue ikatatuliwa.

mkuu kutokuaminia kwenye siku kama ya leo si kitu cha kushangaza na inaruhusiwa kama mtu una mashaka nae asachiwe..mfano kwenye mapochi ya wana wake na vyombo vya kuhifadhia vyakula lazima uhakikishe hakuna namna humo..
 
Updates kutoka kwa Wa Jikoni:

  • Hali ni tulivu.
  • Watu wamejitokeza kupiga kura asubuhi hii, wengi wakiwa ni kina mama.
  • Watu wanahakiki majina yao.
  • Hakuna malalamiko, so far
Wabeja sana Namhala Wa Jikoni...

Wana Igunga naona wameishabugi step, kama wameachia akina mama waende kupiga kura ujue tayari wameishachagua magamba. Kule Tarime na Musoma mjini huwa tunawaibia hawa akina mama vitambulisho vyao hadi sa12 jioni ili wasiende kukipigia kura chama cha magamba
 
Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.

Rais muoga kama mbayuwayu. Anaendesha nchi kwa vitisho. Watu hawatishiki siku hizi.

Yuko wapi Qaddafi?

Aache kutishia. Aamuru tu askari wauwe raia kama alivofanya huyo mmachinga muliyempeleka Igunga kwenda kuhujumu uchaguzi. Then atajua kama hakuna aliye juu ya sheria.
 
Wabeja sana Namhala Wa Jikoni...

Wana Igunga naona wameishabugi step, kama wameachia akina mama waende kupiga kura ujue tayari wameishachagua magamba. Kule Tarime na Musoma mjini huwa tunawaibia hawa akina mama vitambulisho vyao hadi sa12 jioni ili wasiende kukipigia kura chama cha magamba

hauoni kuwa mnawakosesha haki yao ya kupiga kura?
Nawashauri mara nyingine msirudie hiyo dhambi, jaribuni kuwaelimisha then muwape nafasi ya kuchagua hatima ya masha yao. Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli!!!!
 
Updates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
 
Updates:
-Watu wamefurika vituoni
-CCM wanaonekana kushinda
-Wale vijana wa Magwanda wamezuiliwa kuingia
-Kafumu ashangikiwa sana
- Magwanda hoi, njaa kali
Mmmh yaani ushaanza kutoa matokeo haya ngoja tusubiri
 
Naskiza eastafrica radio hapa wao wanatoa update juu ya uchaguz na tahmin mbalimbali,,,wamemhoji mr MGAYANE ambae ndo msimamiz mkuu wa uchaguzi amesema watu waliojitokeza ni weng mno,ila hata wapo radio nao wanatoa update
 
Mlimani TV pia wanatoa update
 
Wakuu kuna kituo vifaa vya kupigia kura vimepelekwa na boda boda.
 
Jamani tunataka updates sio porojo. Watu mliopo igunga tuleteeni taarifa.

Unataka updates gani wakati watu hata hawajamaliza kupiga kura? Au unataka uambiwe watu wanapigana, uchaguzi umevurugika etc ili uridhike?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom