Uchaguzi Mbeya Vijijini: Wagombea na Kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi Mbeya Vijijini: Wagombea na Kampeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kite Munganga, Dec 2, 2008.

 1. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nimekutana na hiyo heading kwenye gazeti la Nipashe na inavyoonekana chama cha CUF kinajiamini kusimamisha mgombea atakayeshinda kirahisi endapo kitaungwa mkono na vyama vingine, Nabaki kujiuliza ni nani huyo watamsimamisha awagalagaze hao watani wa jadi? anayejua hebu atupe jina la mtarajiwa kutoka CUF tujadili kwa kina jamvini,
   
  Last edited by a moderator: Dec 4, 2008
 2. C

  Chuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  samahan jimbo la Nyaulawa lipo wapi vile...?
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Alikosea tu maana huyu ni mwana fasihi. Alimaanaisha jimbo lilolokuwa likiwakilishwa na marehemu Nyaulawa, huko Mbeya.:D
   
Loading...