Uchaguzi Marekani 2016: Urusi yadaiwa kudukua majimbo 21

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
_96580112_gettyimages-621780074.jpg

Wadukuzi wa Urusi walilenga majimbo 21 wakati wa kampeni za uchaguzi wa Marekani ,kulingaa na maafisa wa Marekani.

Jeanette Manfra wa idara ya usalama wa ndani alikataa kutaja majimbo hayo wakati alipokuwa akitoa ushuhuda wake mbele ya jopo la seneti akidai kulikuwa na makubaliano ya siri.

Lakini aliongezea kwamba kulikuwa hakuna ushahidi kuonyesha kwamba masunduku ya kupigia kura yaliingiliwa wakati huo wa udukuzi.

Vitengo vya kijasusi vya Marekani vinaamini kwamba Moscow iliingilia kati uchaguzi huo ili kumsaidia Donald Trump kuibuka mshindi.

Bi Mafraambaye ni kaimu naibu wa maswala ya usalama wa mitandao ,alitoa ushahidi wake siku ya Jumatano mbele ya kamati ya seneti inayosimamia maswala ya ujasusi ambayo inachunguza madai ya Urusi kuingilia kati uchaguzi huo wa 2016.

Kufikia sasa tuna ushahidi kwamba mifumo ya uchaguzi katika majimbo 21 ililengwa,aliambia jopo hilo.

Alisema kuwa idara yake bado ina matumaini kuhusu mfumo wa uchaguzi wa Marekani ambao ni ''imara kimsingi''.

Urusi kwa mra nyengine imekana kuhusishwa na udukuzi wa uchaguzi wa Marekani huku rais Trump akifutilia mbali madai kwamba kampeni yake ilishirikiana na Urusi kama ''habari bandia''.

=======
Russian hackers targeted election systems in 21 US states during last year's campaign, said a US official.

Jeanette Manfra of the Department of Homeland Security (DHS) refused to identify the states during her testimony before a Senate panel, citing confidentiality agreements.

But she added there was no evidence to suggest actual vote ballots were altered in the election hack.

US intelligence agencies believe Moscow interfered to help Donald Trump win.

Ms Manfra, the department's acting deputy undersecretary of cyber security, testified on Wednesday before the Senate Intelligence committee, which is investigating Russia's alleged meddling in the 2016 election.

"As of right now, we have evidence that election-related systems in 21 states were targeted," she told the panel.

She said DHS still had confidence in the US voting system because they are "fundamentally resilient".

The Kremlin has repeatedly denied any involvement in election cyber hacks while Mr Trump has dismissed allegations that his campaign colluded with Russia as "fake news".

White House Press Secretary Sean Spicer on Tuesday refused to say whether Mr Trump believes Russia interfered in the 2016 election.

"I have not sat down and talked to him about that specific thing," Mr Spicer said during a daily news briefing.

"Obviously we've been dealing with a lot of other issues today. I'd be glad to touch base."

Senator Mark Warner, a top Democrat on the panel, argued on Wednesday the country was "not any safer" in concealing which states were hit in the hack.

Both Arizona and Illinois last year confirmed that their voter registration systems had been attacked by hackers.

Republican Senator Marco Rubio also expressed concern, adding that as the investigation continues "it is important Americans understand how our voting systems work and communicate that in real time".

Ms Manfra's comments echoed earlier testimony by Samuel Liles, acting director of the DHS cyber division.

Mr Liles told Congress DHS detected hacking activities last spring and summer and later received reports of cyber probing of election systems.

But he added: "None of these systems were involved in vote tallying."

Mr Liles also said "a small number of networks were exploited - they made it through the door."

Source: BBC News
 
Hapa ndo wamarekani wanajivua nguo mbele ya mrusi!
Mko wapi pro US, kama wameweza kuwadukua kwenye uchaguzi basi hawashindwi kudukua all your military systems!
 
Duuuh nomaaa...Sasa urusi afanye udukuzi huko US kwenye uchaguzi ili agundue nini
 
USA malofa kweli... zao kujidukua wenyewe afu kumsingizia RUSIA tumezichoka.... Mjinga pekee ndio atakua hajui y USA wanafanya hivi.
 
U.S Lazma Alalamike Maana Ktk Dunia Ya Programming Na Hackers Rang Hayupo Hata Kwenye Top20. India Na Kujifanya Anajua Yupo Nafasi Ya 31 Wkt U.S Nafasi Ya 28. Nafasi Ya 10 Ni Italy 9.France Na Wanao Ongoza Ni 1.China Na 2nd Urusi. Hata Kwa Ujasusi KGB Wanashka Nafac Ya Kwanza Duniani, Mnategemea Nn? Imagine Urusi Ingekua Vle Vle USSR, US Angekua Wap Leo?
 
Sijui wamechanganyikiwa nini - mdukuzi anawezaje kufanikiwa kuingilia mifumo ambayo haijafungwa kwenye mtandao i.e Internet - mama mwenye kasema mfumo wao ni imara sana hawezi kuingiliwa na Taifa lolote, lakini bado maadui wa Trump wanakuja na ngonjera eti majibo 21 yalijaribiwa kuingiliwa na Urusi lakini hawana ushahidi wowote wanatapa tapa tu kama watoto wadogo!!!

Taifa linalo heshimika linataka kujidhalilisha kwa madai ya kipuuzi maadui wa Trump wanajifanya kuwa paranoid na Urusi mara Urusi this Urusi that - lengo lao hawataki Trump hawe na mahusiano mema na Putin kwani hilo linaweza kufanya viwanda vya silaha vikose soko ndiyo maana muda wote Amerika upendelea sana kubuni adui ili wapate kisingizio cha kutaka kuingia kwenye ushindani wa kuhunda silaha na mataifa hasimu - uadui wao na baadhi ya Mataifa mengine utakuta mara zote ni wa kuchonga tu - the problem is they never saw it coming kwamba watashindwa uchanguzi.

Si wanajifanya ni wastaarabu na wana demokrasia, sasa kama Hillary alikubali matokeo tangu mwanzo bila ya kushinikizwa na MTU kwamba Trump alishinda kihalali, sasa mbona yeye na mumewe wakishirikiana na akina Obama wanakula njama ili TRUMP aondolewa madarakani kwa visingizio vya kutunga tu vinavyo chochewa na MSM za nchini mwao, wanakwenda mbali na kuchochea Mataifa ya Ulaya yamuone Trump hafai - hii ni ajabu kweli kweli!!

Hillary, mumewe, Obama na wengine wakae wakijua kwamba kilicho wapata kinatokana na Wapiga kura wa Marekani kuchoshwa na kundi hilo hivyo raia wakahamua kufanya mapinduzi ya kimya kimya kupitia sanduku la kupigia kura, wakamchagua mtu ambaye hayumo kwenye kundi la Establishment ambalo ujiona ndilo lenye hati miliki ya kuwatawala watu wengine miaka nenda rudi.
 
Umeelez vizuri sana.
Ukiwasikiliza Democrats wanatia huruma sana.

Wanamsumbua Trump sababu hazijui siasa za Washington.

Hadi leo wanahangaika naye.

Ila kitu kimoja ambacho nimejifunza kutoka kwa Trump.

Trump ni mpambananji na atashinda
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom