Uchaguzi Malawi 2020: Jeshi lachukua hatamu Ulinzi wa Kiongozi wa Upinzani Malawi

mapinduzi daima

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
1,725
2,698
Wakati matokeo ya Uchaguzi wa Rais Nchini Malawi yakiwa hayajatangazwa na Tume ya Uchaguzi, Jeshi la Nchi hiyo limechukua hatamu ya Ulinzi wa Kiongozi wa Upinzani Chikwera.

Hatua hiyo inafuatia Mgombea Mwenza wa Rais aliyepo Mamlakani Peter Mutharika, Bw. Muluzi kutangazia Umma kuwa Bw. Mutharika amekataa kutambua matokeo ya awali ya Uchaguzi.

Matokeo ya Vituo vyote Nchi Nzima ambayo yamewekwa SAINI na Wasimamizi ya Uchaguzi na Mawakala wa Vyama vyote yanaonyesha Bw. Chikwera anaongoza kwa zaidi ya 50% dhidi ya Bw. Mutharika.

Hatua hiyo ya JESHI kuchukua hatamu ya Ulinzi wa Kiongozi wa Upinzani na Makazi yake inatazamwa kama njia ya kuweka shinikizo kwa Bw. Mutharika kukubali kushindwa na kuachia Mamlaka ya Urais.
 
Typically CCM.
Sema tu JW IPO chini ya Ccm inapelekeshwa pelekeshwa
Sio kweli, Jeshi letu LA Wananchi linaangalia wananchi wanasemaje.Kama hamjasema linakaa kimya, nyie anzisheni matakwa yenu uone kama halijakaa upande wa wananchi
 
Sio kweli, Jeshi letu LA Wananchi linaangalia wananchi wanasemaje.Kama hamjasema linakaa kimya, nyie anzisheni matakwa yenu uone kama halijakaa upande wa wananchi
Jeshi hili linalopelekeshwa na Makonda, akawakusanya kwenda kufagia na kufyeka siku ya Mange?
 
Back
Top Bottom