Elections 2010 Uchaguzi Majimbo 7: Chadema Kupoteza Jimbo? CUF + 3, CCM+4!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,179
Salaam wanabodi,
Uchaguzi wa marudio katika majimbo 7 yaliyobakia unafanyika Jumapili hii, ambapo Chadema iko kwenye hatihati ya kulipoteza jimbo la Mpanda Kati kwa CCM, wakati CUF itajivunia majimbo mengine 3 ya Wete ambalo ni lao, lakini pia watavuna jimbo la Magogoni na Mtoni.

Hii ni tathmini yangu ya hali halisi kwa mujibu wa matokeo ya kura za urais kama ifuatavyo...

Jimbo ................KIKWETE (CCM) ................Dr. SLAA (CHADEMA)............. Prof. LIPUMBA(CUF) ......Mshindi
Mpanda Urban 9,526 (57.11%) ....................6,523 (39.11%) ........................168 (1.01%) ......................CCM

Mpanda Rural 7,817 (62.87%) .....................3,669 (29.51%) ........................378 (3.04%) ......................CCM

Nkenge.......... 26,836 (63.78%) ..................13,593 (32.31%) .......................276 (0.66%) .....................CCM

Mwanakwerekwe 1,646 (51.23%) ...............32 (1.00%) ..............................1,416 (44.07%)................. CCM

Mtoni ................2,417 (37.74%) ................139 (2.17%) ............................3,492 (54.53%).................. CUF

Magogoni .........4,606 (46.93%) ..................94 (0.96%) .............................4,791 (48.82%).................. CUF

Wete.............. 1,293 (16.18%) ...................64 (0.80%) .............................6,354 (79.51%) ...................CUF

Namna pekee ya kulilinda jimbo la Mpanda Kati lisiangukie mikononi mwa CCM ni kwa wale walioko Mpanda kati na hayo majimbo mengine ya Mpanda Mjini na Nkenge, kupigiwa kwa nguvu zote lile tangazo la Utajiri wa Tanzania, kwa nini sisi ni masikini, na lile tangazo jingine la Tamwa la 'Dudu liumalo usilipe kidole', lisambazwe nyumba kwa nyumba, vinginevyo Uchaguzi huo, ni kuhalalisha tuu uchakachuaji uliokwishwa tendekeka.

Kwa upande wa CUF, ushindi ni dhashiri, kwa sababu ya tofauti kubwa kati ya mgombea wa CCM na yule wa CUF, hata wachakachue vipi, kura bado zinabaki za kutosha!.

Kwa wale wapenzi wa Chadema, naombeni sana, msinishambulie mimi, shumbulieni hoja niliyoiweka na data na sio kumshambulia mtoa hoja!.

Angalizo: Ushindi wa Chadema bado unawezekana, kama wananchi wa eneo hilo wanaweza kuwa wamempa kura nyingi JK kama rais wao, lakini wakanyima kura mbunge wa CCM au vise versa kama walivyofanya wapiga kura wa Bokoba Mjini, wamempa kura nyingi Dr. Slaa kwenye kura za urais, halafu wakanyima kura mgombea wa Chadema kwenye ubunge na bado wakampigia kura nyingi mgombea wa CCM!.

Nawasilisha.

Pasco.
 
kwa upande wa jimbo la WETE na MAGOGONI nakubaliana nawe kuwa itaenda CUF Lakini kama wananchi hawatabadilisha mwelekeo wa upepo basi CHADEMA itachukua jimbo la Mpanda jimbo la Nkenge iko ngoma tutoe hoja za uhakika na ukweli tusiwe tunapinga tu kwa ushabiki
 
Salaam wanabodi,
Uchaguzi wa marudio katika majimbo 7 yaliyobakia unafanyika Jumapili hii, ambapo Chadema iko kwenye hatihati ya kulipoteza jimbo la Mpanda Kati kwa CCM, wakati CUF itajivunia majimbo mengine 3 ya Wete ambalo ni lao, lakini pia watavuna jimbo la Magogoni na

Hii ni tathmini yangu ya hali halisi kwa mujibu wa matokeo ya kura za urais.
Jimbo KIKWETE (CCM) Dr. SLAA (CHADEMA) Prof. LIPUMBA(CUF) Mshindi
Mpanda Urban 9,526 (57.11%) 6,523 (39.11%) 168 (1.01%) CCM

Mpanda Rural 7,817 (62.87%) 3,669 (29.51%) 378 (3.04%) CCM

Nkenge 26,836 (63.78%) 13,593 (32.31%) 276 (0.66%) CCM

Mwanakwerekwe 1,646 (51.23%) 32 (1.00%) 1,416 (44.07%) CCM

Mtoni 2,417 (37.74%) 139 (2.17%) 3,492 (54.53%) CUF

Magogoni 4,606 (46.93%) 94 (0.96%) 4,791 (48.82%) CUF

Wete 1,293 (16.18%) 64 (0.80%) 6,354 (79.51%) CUF

Namna pekee ya kulilinda jimbo la Mpanda Kati lisiangukie mikononi mwa CCM ni kwa wale walioko Mpanda kati na hayo majimbo mengine ya Mpanda Mjini na Nkenge, kupigiwa kwa nguvu zote lile tangazo la Utajiri wa Tanzania, kwa nini sisi ni masikini, na lile tangazo jingine la Tamwa la 'Dudu liumalo usilipe kidole', lisambazwe nyumba kwa nyumba, vinginevyo Uchaguzi huo, ni kuhalalisha tuu uchakachuaji uliokwishwa tendekeka.

Kwa upande wa CUF, ushindi ni dhashiri, kwa sababu ya tofauti kubwa kati ya mgombea wa CCM na yule wa CUF, hata wachakachue vipi, kura bado zinabaki za kutosha!.

Kwa wale wapenzi wa Chadema, naombeni sana, msinishambulie mimi, shumbulieni hoja niliyoiweka na data na sio kumshambulia mtoa hoja!.

Angalizo: Ushindi wa Chadema bado unawezekana, kama wananchi wa eneo hilo wanaweza kuwa wamempa kura nyingi JK kama rais wao, lakini wakanyima kura mbunge wa CCM au vise versa kama walivyofanya wapiga kura wa Bokoba Mjini, wamempa kura nyingi Dr. Slaa kwenye kura za urais, halafu wakanyima kura mgombea wa Chadema kwenye ubunge na bado wakampigia kura nyingi mgombea wa CCM!.

Nawasilisha.

Pasco.
Dawa ni kulinda kura, basi.
 
Mawazo ya watu kabla na baada ya uchaguzi yamebadirika, kwa hiyo lolote linaweza kutokea japo sipingi ushahidi wa takwimu :yield:
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% japo sasa kura nyingi labda ziwe za symphathetic kwa Chadema kuifuta machozi.
 
Wizi mtpuuuuuuuuuuuuuuuuu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! sitaki hata kusikia, tumevunjwa moyo vya kutosha.
 
Mpanda kati lazima Pinda atachakachua matokeo kama alivyofanya sumbawanga mjini. period!!!! asipofanya hivyo u-PM asahau
 
Jimbo ................KIKWETE (CCM) ................Dr. SLAA (CHADEMA)............. Prof. LIPUMBA(CUF) ......Mshindi
Mpanda Urban 9,526 (57.11%) ....................6,523 (39.11%) ........................168 (1.01%) ......................CCM

Mpanda Rural 7,817 (62.87%) .....................3,669 (29.51%) ........................378 (3.04%) ......................CCM

Nkenge.......... 26,836 (63.78%) ..................13,593 (32.31%) .......................276 (0.66%) .....................CCM

Mwanakwerekwe 1,646 (51.23%) ...............32 (1.00%) ..............................1,416 (44.07%)................. CCM

Mtoni ................2,417 (37.74%) ................139 (2.17%) ............................3,492 (54.53%).................. CUF

Magogoni .........4,606 (46.93%) ..................94 (0.96%) .............................4,791 (48.82%).................. CUF

Wete.............. 1,293 (16.18%) ...................64 (0.80%) .............................6,354 (79.51%) ...................CUF

hizo ni kura halisi au za NEC??
 
Jimbo la mwanakwerekwe pia linachukuliwa na cuf maana ccm walichakachua kura za rais lkn ktk huu ubunge wataumbuka pale
 
Salaam wanabodi,
Uchaguzi wa marudio katika majimbo 7 yaliyobakia unafanyika Jumapili hii, ambapo Chadema iko kwenye hatihati ya kulipoteza jimbo la Mpanda Kati kwa CCM, wakati CUF itajivunia majimbo mengine 3 ya Wete ambalo ni lao, lakini pia watavuna jimbo la Magogoni na Mtoni.

Hii ni tathmini yangu ya hali halisi kwa mujibu wa matokeo ya kura za urais kama ifuatavyo...

Jimbo ................KIKWETE (CCM) ................Dr. SLAA (CHADEMA)............. Prof. LIPUMBA(CUF) ......Mshindi
Mpanda Urban 9,526 (57.11%) ....................6,523 (39.11%) ........................168 (1.01%) ......................CCM

Mpanda Rural 7,817 (62.87%) .....................3,669 (29.51%) ........................378 (3.04%) ......................CCM

Nkenge.......... 26,836 (63.78%) ..................13,593 (32.31%) .......................276 (0.66%) .....................CCM

Mwanakwerekwe 1,646 (51.23%) ...............32 (1.00%) ..............................1,416 (44.07%)................. CCM

Mtoni ................2,417 (37.74%) ................139 (2.17%) ............................3,492 (54.53%).................. CUF

Magogoni .........4,606 (46.93%) ..................94 (0.96%) .............................4,791 (48.82%).................. CUF

Wete.............. 1,293 (16.18%) ...................64 (0.80%) .............................6,354 (79.51%) ...................CUF

Namna pekee ya kulilinda jimbo la Mpanda Kati lisiangukie mikononi mwa CCM ni kwa wale walioko Mpanda kati na hayo majimbo mengine ya Mpanda Mjini na Nkenge, kupigiwa kwa nguvu zote lile tangazo la Utajiri wa Tanzania, kwa nini sisi ni masikini, na lile tangazo jingine la Tamwa la 'Dudu liumalo usilipe kidole', lisambazwe nyumba kwa nyumba, vinginevyo Uchaguzi huo, ni kuhalalisha tuu uchakachuaji uliokwishwa tendekeka.

Kwa upande wa CUF, ushindi ni dhashiri, kwa sababu ya tofauti kubwa kati ya mgombea wa CCM na yule wa CUF, hata wachakachue vipi, kura bado zinabaki za kutosha!.

Kwa wale wapenzi wa Chadema, naombeni sana, msinishambulie mimi, shumbulieni hoja niliyoiweka na data na sio kumshambulia mtoa hoja!.

Angalizo: Ushindi wa Chadema bado unawezekana, kama wananchi wa eneo hilo wanaweza kuwa wamempa kura nyingi JK kama rais wao, lakini wakanyima kura mbunge wa CCM au vise versa kama walivyofanya wapiga kura wa Bokoba Mjini, wamempa kura nyingi Dr. Slaa kwenye kura za urais, halafu wakanyima kura mgombea wa Chadema kwenye ubunge na bado wakampigia kura nyingi mgombea wa CCM!.

Nawasilisha.

Pasco.

Hizi ni kura halisi au ni zile za kuchakachua za NEC na Chaka Chua Matokeo (CCM)!!!
 
Jimbo la mwanakwerekwe pia linachukuliwa na cuf maana ccm walichakachua kura za rais lkn ktk huu ubunge wataumbuka pale
 
Pemba haendi mtu kupiga kura ,wale wazee wenye busara tayari wameanza tena kukusanyana makaburasha wakichanganya na ya uchaguzi wa mwaka huu ,wanatua New York (UN) direct ,wanasema mpaka kijulikane.
 
Hizi takwimu kwa Mpanda mjini Labda walichakachua,Mbuge mtarajiwa ni wa chadema(ARFI SAIDI) bwana,Huyu bwana wa CCM(KAPUFI).anakubalika kwa kinamama wazee tu,
 
Hivi kule Nkenge ndiyo kwa Asumpta Mshana au na mimi nimechakachua taarifa? Nisaidieni ndg zangu! Maana kama ndiyo huko kazi ipo japo watanzania wa kule wanaweza kuamua kuwa na wao wamechakachuliwa maisha yao na CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom