Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

Hivi vyama vya siasa mmeshindwa kuweka mawakala kila kituo? vipi zile karatasi za matokeo zinazibandikwa nje ya kila kituo na wakala kupewa nakala mnashindwa kuzipata? tuache kulalamika kwa kupayuka tu. waamvie mawakala wakusanye matokeo ya kila kituo kisha leteni hapa data zote na vielelezo sahihi. au hamuwaamin hataawakala wenu?
 
Hata kuangalia kura zinazopigwa! Hata aibu huoni! Endele kutetea upumbavu wakati kila mwenye akili timamu anafahamu huo ni ujumbe tosha kwamba, hata kama CCM "imeshinda", huyo mshindi hana uhalali wowote wa kisisasa! Liwale ni wilaya ndogo sana in terms of population, lakini idadi kubwa kama hiyo inapojitokeza barabarani kukejeli hujuma basi jkwa watawala na vibaraka wao kama nyinyi ambao mmehapa kutetea kila aina ya ujinga unaondelea nchini kwa sababu tu ujinga huo unafanywa na watawala!

Tundu Lissu alipata kusema, "hakuna aliye salama!" Endelea kutetea ufedhuii kwa kudhani kwavile nyie mko daraja fulani basi ufedhuli unaoendelea nchini katu hautakuja kuwapata!

Hivi wewe siasa zinakusahidiaje. Kelele tuuuuu. Embu Fumba domo hilo
 
Taarifa kutoka liwale manjagu ndio waliohesabu kura liwale
Badala ya wasimamizi wa vituo kukataa bao la mkono
 
Nchi hii ilivyo na figisu huo bila shaka ni uchaguzi wa 2015 sasa wanazuga uonekane ni wa sasa.!! Bogus kabisa.😂😂😂
 
Ni huru ofcoz, unaona wameshikiwa fimbo hao, au unadhani hao wamekuja mpigia kura mbunge wa chama chenye wabunge malaya wanaonunuliwa
Hakuna mbunge Malaya anaenunuliwa. Naamini ni watu ambao wanaona wakubali yaishe, if u can't defeat them, join them.
 
Sijawahi kuona wapumbavu kama wewe; mshenzi mkubwa wee!! Hivi unafahamu maana ya "uhalali wa kisiasa" we mbwa koko? Hata akina Sadam Hussein walikuwa "wanachaguliwa kwa kura" kwahiyo huo upumbavu wa kura peleka kwa wapumbavu wenzako, mbwa wewe!
Yakurudie yote ya kishenzi uliyonikusudia. Nakupa elimu wewe mwenye nakisi ya ustaarabu. Wambieni watu wajitokeze kwenye sanduku la kura na kupiga kura. Sio kuwakusanya na kuonesha ufundi wa kutukana na kutoa kashfa majukwaani.
Toka leo koma kama ulivyokoma kunyonya kuwahadaa watu kuwa kujaza watu majukwaani ndio wingi wa kura.
 
Yakurudie yote ya kishenzi uliyonikusudia. Nakupa elimu wewe mwenye nakisi ya ustaarabu. Wambieni watu wajitokeze kwenye sanduku la kura na kupiga kura. Sio kuwakusanya na kuonesha ufundi wa kutukana na kutoa kashfa majukwaani.
Toka leo koma kama ulivyokoma kunyonya kuwahadaa watu kuwa kujaza watu majukwaani ndio wingi wa kura.
Huna elimu yoyote ya kunipa mbwa wewe!! Ikiwa nilishazungumzia suala la "kura" na "uhalali wa kisiasa" na bado ukashindwa kuelewa, sasa una elimu gani ya kunipa? Kama unayo, kawape wapumbavu wenzako! Na next time, anza kwanza wewe kuwa mstaarabu kama unataka wenzako wakujibu kistaarabu juha wewe! Au umesahau post yako ambayo uliibuka from nowhere na kuansza kwa matusi:
Hivi wewe unayo akili kweli. Toka lini tulichagua viongozi wetu huwachagua kwa kuangalia picha za video au nyomi ya mikutano? Hata baada ya kufafanuliwe bado umeshupaa na picha ebo. Acha ujinga wambieni watu wenu wakapige kura
Kuna mstaarabu gani anaweza kuandika post ya kishenzi kama hiyo kwa mtu ambae hajakosana nae popote?
 
Huna elimu yoyote ya kunipa mbwa wewe!! Ikiwa nilishazungumzia suala la "kura" na "uhalali wa kisiasa" na bado ukashindwa kuelewa, sasa una elimu gani ya kunipa? Kama unayo, kawape wapumbavu wenzako! Na next time, anza kwanza wewe kuwa mstaarabu kama unataka wenzako wakujibu kistaarabu juha wewe! Au umesahau post yako ambayo uliibuka from nowhere na kuansza kwa matusi: Kuna mstaarabu gani anaweza kuandika post ya kishenzi kama hiyo kwa mtu ambae hajakosana nae popote?
Yakutokayo hayawezi kunizuia kukupa elimu. Yaliyokutoka ni ithibitisho tosha kuwa akili uliyohifadhi kichwani ina nakisi ya stadi za maisha. Wajuzi wa upande huo watakusaidia kwa hilo.
Koma kuaminisha watu kuwa nyomi ya mikutanoni ndio inatoa uamuzi washindi katika sanduku la kura. Wambieni watu waende kupiga kura. Ebo!
 
Back
Top Bottom