Uchaguzi Kinondoni/Siha CCM itashinda kwa 87%

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Dalili ya mvua ni mawingu.
Kama mjuavyo kuna kampeni sasa zinaendelea ya uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha.

Mpk sasa chama cha Mapinduzi inaongoza kwa kura ya maoni ambapo inaonekakana itaibuka kidedea katika uchaguzi huu.

CCM itashinda kutokana na ilivyojipanga katika kampeni zake kuanzia nyumba kwa nyumba hadi kwenye majukwaa na kuleta uhamasishaji kwa wapiga kura wanaokiunga mkono.

Mfano utafiti unaonesha kuwa kuna kata 3 ambao ina wapiga kura wengi zaidi ya 20,000 kwa kila kata katika Jimbo la Kinondoni. Katika kata izo CCM imeshajihakikishia wapiga kura 15,000 kwa kila kata.

Upande wa CHADEMA kampeni imedorara kutokana na msuguano uliyopo ndani ya chama icho lakini pia ukosefu wa rasimali pesa inayosababisha mpaka sasa vijana wao waliyotolewa mikoani kuja kusaidia kampeni kukosa posho mpaka jana walikuwa hawajalipwa pesa.

Baada ya CHADEMA kuona hayo wameanza mbinu mpya ya kuanzisha fujo, kuwateka wafuasi wao na kwenda kuwadhuru ili ionekane vyombo vya dola ndiyo wanaofanya hayo.
 
Kama unauwakika mtashinda riwaya Hiyo yote ndefu ya kutuaminisha ya kazi gani??
 
Back
Top Bottom