ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 73,399
- 136,634
Sasa kama Tanzania hvo Kenya itakuaje munaotegemea chakula kutoka tanzania...tafakariJust in the news, now, Hunger and desperation in Tanzania, Tanzania resident reporter updates us
Sasa kama Tanzania hvo Kenya itakuaje munaotegemea chakula kutoka tanzania...tafakariJust in the news, now, Hunger and desperation in Tanzania, Tanzania resident reporter updates us
Yani hata tanzania below poverty line ni 28.2% na tunajitahidi kupunguza zaidi wao wapo 46% alaf anasmama mtu anavimbisha misuli, niliwah kuwaambia uchumi wa Kenya umeshikwa na wageni sasa investors wanakuja wanachota wanaondoka fatilia hata majengo mengi nairobi ni ya investors wao wana nini ??????????
Tatizo kubwa na changamoto kwao ni ukabilaNimeipenda hii ila pungufu lililopo ni kuwa ripota hana uwezo mzuri wa kuhoji hasa ktk nyanja ya siasa na uwezo wa Wakenya wenyewe ktk uelewa wao. Tunakosa kile tunachokitarajia hasa ukizingatia uchaguzi wa Kenya unachangamoto nyingi hasa tukiangalia uchaguzi mkuu uliopita uliomwaga damu za Wazalendo.
kumbe tv zenyu zina report habari za tz and they have even resident reporters in tz?.!!!.Just in the news, now, Hunger and desperation in Tanzania, Tanzania resident reporter updates us
Kwa kujamba labda!Hahahaa wabongo noma
Mafy ya mbuz ww, hujui lolote!!Sasa nioneshe nchi yenye uchumi wa kati ambayo below poverty line ni 46% zaidi ya Kenya mm nilikwambia uchumi wenu wa kati uko kwenye karatasi sio uhalisia....
Aliacha kupost screen shot za ujingaKadoda11 ako mature ckuhizi..thumbs up
kumbe tv zenyu zina report habari za tz and they have even resident reporters in tz?.!!!.
wakenya mnapokuwa mnatamka baadhi ya vitu hapa jf,muwe mnatunza kumbukumbu ili kulinda hadhi yenu.vinginevo mtakuwa mnaonekana wajinga.
siku chache zilipoita,kupitia thread nyingine,mlidai TV zenu hazitangazi masuala ya tz,Leo wewe mwenyewe umekuja na screenshot ya KTN ikiripoti masuala ya tz kupitia resident reporter.
Tazama huu upuuzi wa wakenya wenzako hapa chini,halafu linganisha na kinacho onekana kwenye screenshot yako.
njia ya muongo ni fupi.
alistuka screenshot zake za twitter hazileti bidiiAliacha kupost screen shot za ujinga
Just in the news, now, Hunger and desperation in Tanzania, Tanzania resident reporter updates us
Kama sijui nioneshe nchi below poverty line ni 46% inayojiita uchumi wa kati maneno mengi ya nini...usitishie kufa kuzimia huweziMafy ya mbuz ww, hujui lolote!!
Sindano ya kadoda imeingia enhhhhh asante kwa kutujuzaKadoda11 ako mature ckuhizi..thumbs up
Wapi digisuper lens?? wapi studio??alistuka screenshot zake za twitter hazileti bidii
usigusie apo bamdogo Kidonda. aisee mambo mengine unafaa kufyata mdogo maana nahofia utaaibishwa mpaka basi! Tuko na the likes of Zain Verjee - Wikipedia na hatusemi kitu.my brother wanjala,while your TV stations use resident news reporters who are not well known to the public (amateur news reporters like the guy in your screenshot),azam tv's resident news reporter for great lakes countries and south sudan is a former BBC Swahili reporter/anchor/journalist, kassim kayira.