Uchaguzi Kalenga: baada ya kuona GEODFREY MGIMWA HAKUBALIKI CCM YAANZA KUTENGENEZA MATUKIO

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Nafikiri picha zinasema kuliko maneno mtoto wa mgimwa ni kwamba hakubaliki na sababu kuu ni kuwa wana kalenga wanachukia political dynasty kwamba alikuwa anatawala baba sasa hayuko basi mtoto achukue nafasi yake na ili lilianza tu mara tu baada ya kura za maoni wenyewe kwa wenyewe ndani ya ccm wengi wao waliona haikuwa busara kwa mtoto kupewa nafasi na baadhi waka suggest asubiri mpaka 2015.

mwalimu Nyerere ambaye ndiye muasisi wa chama hicho alikemea sana tabia hii mbaya ya kubadilisha madaraka kifamilia na yeye alikuwa ni kiongozi alionyesha mfano kwani hakuwahi kumrithisha madaraka mwanae yeyote na alikuwa akipinga hali hii na wapinzani wao wamekuwa wakitumia kauli za muasisi huyo kuwakumbusha wana kalenga ubaya wa political dynasty kwa kunukuu kauli mbalimbali za Mwl.Nyerere akikemea Political Dynasty. chadema waanze kujiandaa na siasa chafu za ccm kama walizocheza igunga ikiwemo kuchoma mabanda ya watu usiku huku wachomaji wakikimbia wakiwa na bendera za chadema au uniform za chadema na hizi ni dalili za wazi za ccm kuanza kushindwa kwa kuanza kulia kutekwa kwy majukwaa ya siasa huku polisi wanakujua hawaendi
IMG_0415.JPG


IMG_0078.JPG
 
Kumbuka zile Chaguzi ndogo ule upande wa ......3 ulikuwa na watu kwenye mikutano yao lakini ilipofika wananchi kukata mzizi wa fitina yakatokea yaliotokea hata huku fununu ni kwamba yatatokea yaleyale kwa mujibu wa maoni ya Madreva wa yale Magari ya M4C kwamba.
 
tufanyizie mfano mmoja wa tukio ili kichwa cha habari yako kiwe sahihi.

yote kwa yote nawatakia kila la kheri mgombea, wanachama, wapiga kura na wakereketwa wa CHADEMA.
 
tufanyizie mfano mmoja wa tukio ili kichwa cha habari yako kiwe sahihi.

yote kwa yote nawatakia kila la kheri mgombea, wanachama, wapiga kura na wakereketwa wa CHADEMA.

eti wanadai jana usiku viongozi walikuwa kwy mkutano wao sijui wapi wanadai wakipanga mbinu a kumteka mwenyekiti wa ccm mkoa wa iringa ... jiulize for what?? na kama hilo lilikuwepo huo ni uhalifu kwanini ukwenda kufungua jalada polisi badala yake unaeleza mikakati ya mwalifu kwy jukwaa la siasa!! umteke m-kiti wa ccm iringa aliyeshindwa kura za maoni ndani ya ccm ambaye hana umaarufu wowote ili upate nini??
 
Wewe endelea kujiriwadha na njozi za mchana lakini kumbuka sanduku la kura ndiyo yatakuwa majibu ya njozi zako.

Hizo picha unazozionyesha niza kijiji, usitegemee kijiji kikawa na wahudhuriaji kwenye mkutano kwa maelfu na kikubwa zaidi, hakuna maana yoyote ya kujaza watu kwenye mikutano ambao baada ya mkutano wanakuwa hawajavutiwa na ujumbe wako. Bora uwe na watu wachache lakini wote wauelewe ujumbe wako na kuukubali.

Tutakutana tena hapa baada ya uchaguzi kama ilivyokuwa kwenye chaguzi za kata 27.
 
Ccm imewadharau wahehe wa kalenga kwa kuwarithisha mbunge kutoka familia ya kina mgimwa wakiamini wana kalenga toka familia nyingine hawana uwezo wa kuwa wabunge. Yaani familia inayojua kutafuna posho vizuri za bunge ni ya kina mgimwa tu! Wahehe wa kalenga amkeni kumekucha, kataeni dhuluma hii ya waziwazi!
 
ingekua umati wa watu ndio ushindi, basi chadema ingechukua zaidi ya kata tatu kwenye chaguzi za udiwani zilizopita

it is high time wanachadema kuangalia realities na kuacha shabiki-mandazi

it is not over until the fat lady sings
 
CCM haina tofauti na choo cha bus stand ambacho kila mtu anaingia na kufanya atakacho.
 
Alafu mbona huyu mtoto mbona haya masharti yake ya ccm kwa nyakati tofauti yanaonekana makubwa kwake? Au ndo urithi wa vyote ahh? Huyu dogo inaonekana akili za kuambiwa na ccm hachanganyi na zake
 
ccm imeshapoteza sifa ya kuwa cha siasa, kazi ni kucheza na matukio, ndio kilibaki kwao, hawaoni hata kutoa uhai mtu, kisa hawakubaliki na wananchi.
 
Back
Top Bottom