Elections 2010 Uchaguzi Jimbo La Nyamagana Kama Kawaida

Selous, pole mkuu, halafu pole pole, Mod anakutazama, hilo neno la mwisho halina sababu
 
Tendwa akifuata sheria na akatoa uamuzi wake kwa misingi ya sheria na haki, atakuwa amejiwekea mazingira mazuri ya kuheshimika si Tanzania peke yake, bali dunia nzima. Atakuwa na uhakika wa kupata kazi kokote pale.
 
for sure ,yeah
 
Naona na hili jimbo JK 'alidanganywa' tena na wasaidizi wake.

Mkuu naye kwa 'kudanganyika'?
 
mbona hii haijatangazwa wakuu:playball:

Angalia MwanaHalisi ya leo imetoa, lakini kabla ya jana Diallo ambaye inaaminika alikuwa akimsaidia Mgombea huyo wa Chadema kumshinda Masha, juzi na jana alikuwa akisambaza SMS kwa waandishi kuwataka kufuatilia jambo hilo.
 
Hapo BOLD bado siamini amini! I thought DIALLO na Lawu ni kitu kimoja?
 
Masha lazima jivi linamdunda, anajua hakubaliki na alifanya kila fitina iwezekanayo asipambane na wananchi katika sanduku la kura
 
Cha muhimu sasa CHADEMA waiambie tume imuhamishe huyo msimamizi wa uchaguzi katika hilo jimbo kwani alishaonyesha kuwa bias. Asipoondoka, probably there will be plan B.
 
adam malima naye yamemkuta ya masha
yeye alimuwekea pingamizi mgombea wa chadema mkuranga sifa mtiti
lakini jamaa alikata rufaa na rufaa yake imekubaliwa
 
Safi sana... Namuombea Masha ashindwe... Ili yeye Beno na Ridh-One wasiwe wanatembelea SOUTH BEACH na vibinti vidogo
 
Kupitia kurasa wake wa FB, ingawa hakuniruhusu kuwajuza, yeye mwenyewe ameandika yafuatayo "Tume ya Uchaguzi Taifa imetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na Kuamua kwamba Uchaguzi utaendelea, ! Seems funny though as per appeal was out of time and unprocedural ! I will start my campaign on the 14th of September !"mwisho wa kunukuu.Niseme jambo moja, huyu ni mbunge wangu wa sasa, naamini anakazi kubwa kushinda, anapita katika msukumo mbaya kisiasa.
 
Kati ya watu ambao binafsi naamini hawastahili kurudi Bungeni (na niliandika hivyo) ni huyu bwana.. I'll do my part.
 
Back
Top Bottom