TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
Naanza kuamini kauli ya Pinda kuwa mafisadi wana nguvu, hii inadhihirishwa na ushindi wa fedha walioupata CCM igunga. Kazi iliyombele kwa chadema ni Kuzidisha mapambano ya ukombozi wa nchii mikononi mwa MAFISADI. operation sangara is a good strategy towards new tanzania liberation.