Uchaguzi Igunga: DC apata kisago kutoka kwa wana- CHADEMA

Usituletee mambo yako ya kipuuzi, hebu nipe sheria inayomkataza DC kutokuhudhuria mkutano wa hadhara. Huo nio mhadhara na mtu yoyote anaweza kuhudhuria...vikao vyenu vya kamati au halmashauri zenu zinahudhuriwa na wajumbe....ila hadharani mtu yoyote anaweza kuhudhuria.....Acha pumba/mataputapu!!

wewe miaka 50 uhuru bado unaendekeza matusi,hivi matusi ina maana ni hazina pekee ulijaliwa nayo kichwani mwako.au unataka kusema kuwa CCM wamebinfsish kichwa chako

Unawazimu sana Kobello! Hao ccm na serikali yake wameua raia wangapi wasio na hatia na hawajajichukulia action yoyote, Ila kwa vile DC kapigwa
wakati akitekeleza maagizo kutoka juu ndiyo unaona bora hao watu wanyongwe? unawazimu sana mruguru wewe
Mtu yoyote anayeua, naye auawe.
KU -Assault kiongozi wa serikali adhabu yake ni kifungo, ila maoni yan ni bora adhabu iwe ya kifo.

Wewe haupo Igunga ila upo Chuo cha ualimu Mpwapwa. Hizo propaganda za kitoto hazikufai. Mimi nimepigiwa simu na kiongozi wa CCM na amesema ni kweli tukio limetokea na Mkuu wa wilaya amejeruhiwa jicho la kushoto na sehemu ya mbavuni. Suti yake imechanwachanwa na ilibidi watu wamuazime suruali.

Kama hichi unachosema hapa ni kweli,basi hili ni fundisho tosha kwa ma DC na ma RC wote wanaoacha kufanya kazi kwa utashi wao na badala yake wanafanya kazi kwa utashi wa ccm

Usituletee mambo yako ya kipuuzi, hebu nipe sheria inayomkataza DC kutokuhudhuria mkutano wa hadhara. Huo nio mhadhara na mtu yoyote anaweza kuhudhuria...vikao vyenu vya kamati au halmashauri zenu zinahudhuriwa na wajumbe....ila hadharani mtu yoyote anaweza kuhudhuria.....Acha pumba/mataputapu!!

Sheria za uchaguzi haziruhusu watendaji wa serikali kuwepo kwenye mikutano ya kampeni au hata kuwa karibu na maeneo ya mikutano.

Kwanza walianza kutumwagia tindikali sasa wameanza kuwapiga viongozi wetu wa nchi na mwisho wataanza kurusha mawe ikulu. Hili halikubaliki na lazima wafungiwe kufanya kampeni kabla ya uchaguzi ili washike adabu. Narudia tena, hili halitavumiliwa.

<br
kama umemwagiwa tindikali tueleze umelazwa wapi na hospitali ipi?.wewe umemwagiwa tindikali ya ujinga na CCM.

Khe! Kumbe ni mwanamama? Pole sana! Umepewa sh ngapi ili uhakikishe CCM inashinda?

Magwanda, you have previously survived a number of scandals involving violences but this one is beyond redemption. You have attempted to test JK patience and surely you will face his music in levelling the score. Probably the beginning of an end of Chadema is here.
who is jk before me!

Kama hii habari ya kupigwa ni kweli... Tunaomba tamko la CHADEMA Kutoa ufafanuzi, maana kimsingi kapigwa rais wa Igunga.

Jamani mbona kuna njia nyingi za kumdhibiti mtu kama huyo?... Chondechonde CDM na wapambe wenu tunawaomba muwe na restraint, musituharibie nchi. Kama hamjui thamani ya kuamka asubuhi na kwenda kwenye shughuli zako bila ya wasiwasi wa kuuawa, basi waulizeni wanaoishi Mogadishu...Toka mwaka 1992 walipomtoa Siad Barre, mpaka kesho ni vita tu na umaskini ndo unazidi kila siku, pamoja na kwamba wao wote ni kabila moja na dini moja....

Wasudani walikua na msemo nchi mbili zitazoishi kwa amani ni bora kuliko nchi moja isiyoisha vita, wakagawa nchi yao.

Tunataka mageuzi ya mfumo mzima, lakini sio hii ya kujichukulia sheria mikononi kila mkikusanyika watatu au zaidi....

Mtu yoyote anayeua, naye auawe.
KU -Assault kiongozi wa serikali adhabu yake ni kifungo, ila maoni yan ni bora adhabu iwe ya kifo.
Kobello uko dunia gani kaka angu? Hebu angalia yaliyotokea huko Mbagala,Gongolamboto na sasa hapa juzi Zanzibar.
Hivi mpaka sasa umesikia kiongozi gani kawajibika kwa kujiuzulu? au umesikia mmiliki wa hiyo meli akitajwa? Achana na
magamba kaka Kobello! hawa jamaa ni nuksi usipime.....iweje wazembe walioyosababisha vifo wasinyongwe,alafu wanyongwe watu
waliompiga DC? shame on u Kobello

Wote wanyongwe!!

Juzi majaji wamelalamika kupewa budget ndogo ya kuendesha kesi -- sasa sijui katika nchi hii kutakuwapo haki? Na kama hakuna haki, kitu ambacho ndiyo msingi mkubwa wa amani, nani alaumiwe ikitokea vita? Kwa hivyo haya mambo ya kujichukulia sheria mikononi umekuwa utamaduni ambao unasukumwa na utawala wa CCM ninahofu sana tuendako.

haya tuliyategemea, tindikali kisha mapanga, ikafuata kumbaka binti, tena DC, Hii ndio chadema iliyopeleka MUNGIKI na INTARAHAMWE, na hawa intarahamwe wanapenda kubaka hawa!

wale waliobakana CCM wenyewe baada ya kudhulumiana malipo yo ya dhambi wewe mzembe kusoma nini wewe halafu unaanza kuzingizia

Kwanza walianza kutumwagia tindikali sasa wameanza kuwapiga viongozi wetu wa nchi na mwisho wataanza kurusha mawe ikulu. Hili halikubaliki na lazima wafungiwe kufanya kampeni kabla ya uchaguzi ili washike adabu. Narudia tena, hili halitavumiliwa.

Kwani wewe nani????

Aah! Mwita ni kiboko, kwa kukoleza chumvi! Eti, kapigwa vby, suti yake imechanika, kapewa trouser kujisitiri, kaumia ubavuni na jichon .. Blah blah blah.

Kumbe ni "madame". Sasa brodha propaganda haziendi hivyo, at least story ishabihiane na ukweli. Male & Female ni mbingu na ardhi

Mtu yoyote anayeua, naye auawe.

KU -Assault kiongozi wa serikali adhabu yake ni kifungo, ila maoni yan ni bora adhabu iwe ya kifo.
nakuonaga unabusara kumbe kichwani umejaza kamasi..nimejitahi kukusoma tangu ulipoanza kupost kwa kukurupuka kama juha kifupi unajibu kama mjinga mwenzako nepi..

Jamani wananchi wapenda Amani, hawa CDM wataitumbukiza nchi yetu kwenye machafuko makubwa ya umwagaji damu.

Kuna vijana 400 kutoka Arusha na Moshi walikuwa wanasombwa na zile Fuso za CDM ndio wanaleta machafuko Igunga na hao ndio waliomwagia Tindikali yule kijana mpenda amani wa Igunga

katoe ushahidi polisi na ukubali kwenda mahakamani kutoa ushahidi si kuropoka ropoka humu.

Kama hii habari ya kupigwa ni kweli... Tunaomba tamko la CHADEMA Kutoa ufafanuzi, maana kimsingi kapigwa rais wa Igunga.

Jamani mbona kuna njia nyingi za kumdhibiti mtu kama huyo?... Chondechonde CDM na wapambe wenu tunawaomba muwe na restraint, musituharibie nchi. Kama hamjui thamani ya kuamka asubuhi na kwenda kwenye shughuli zako bila ya wasiwasi wa kuuawa, basi waulizeni wanaoishi Mogadishu...Toka mwaka 1992 walipomtoa Siad Barre, mpaka kesho ni vita tu na umaskini ndo unazidi kila siku, pamoja na kwamba wao wote ni kabila moja na dini moja....

Wasudani walikua na msemo nchi mbili zitazoishi kwa amani ni bora kuliko nchi moja isiyoisha vita, wakagawa nchi yao.

Tunataka mageuzi ya mfumo mzima, lakini sio hii ya kujichukulia sheria mikononi kila mkikusanyika watatu au zaidi....

Usemayo sawa... lakini pia umekwepa madudu yote yanayofanywa na utawala mbovu wa CCM -- mauaji ya raia wasiokuwa na hatia kupitia polisi wao, vifo vya kizembe vya Mbagala, Gongo la Mboto, na meli kuzama ambakko vyote hivyo wahusika hawaguswi nk nk. Vitu vya namna hii ndivyo hupeleka nchi kwenye machafuko -- kwani haki hupotea. Utawala wa Siad Barre ulifanya hivyo hivyo na hakutaka kujirekebisha.

Usiwatishe Watz kwa yale yanayotokea Somalia - kwani hujawaambia ni kwa nini yalitokea, yaani chanzo chake.

Aah! Mwita ni kiboko, kwa kukoleza chumvi! Eti, kapigwa vby, suti yake imechanika, kapewa trouser kujisitiri, kaumia ubavuni na jichon .. Blah blah blah.

Kumbe ni "madame". Sasa brodha propaganda haziendi hivyo, at least story ishabihiane na ukweli. Male & Female ni mbingu na ardhi

Sitaki kuamini kwamba hujui kuwa wanawake wanavaa suruali. Nasema tena sitaki kuamini.

Back
Top Bottom