Uchaguzi Igunga: DC apata kisago kutoka kwa wana- CHADEMA

Kwanza walianza kutumwagia tindikali sasa wameanza kuwapiga viongozi wetu wa nchi na mwisho wataanza kurusha mawe ikulu. Hili halikubaliki na lazima wafungiwe kufanya kampeni kabla ya uchaguzi ili washike adabu. Narudia tena, hili halitavumiliwa.
umesahau ocd aliyepigwa mtama?
 
Siafiki namna hii ya kukabiliana na watu tusiokubaliana nao.

Mkuu, kama wasomi sisi tuwe wa kwanza kuhubiri amani na ufuatwaji wa sheria tulizojiwekea. Naamini mzee wangu Slaa na Lissu wangeweza kuchukua maamuzi sahihi kuwawakilisha wadau/wanachama wao katika kudai haki zao.

Hivi tunaelekea wapi? Imekuwaje hadi akapewa kisago? Hakukuwa na ulinzi? Naye kwanini afanye hujuma?
Mkuu unachoongea ni kweli na ni point tosha! lakini sometime ccm wanakera sana....imagine wanafikia hatua wanamtumia hata DC kuhujumu
mambo ya wapinzani. Hapo hata kama wangeenda polisi au kuita takukuru bado isingesaidia kitu chochote maana hao wote wanapewa maelekezo
na ccm. So sometime inatia hasira sana na unashtukia umemnasa mtu kibao
 
Siafiki namna hii ya kukabiliana na watu tusiokubaliana nao.

Mkuu, kama wasomi sisi tuwe wa kwanza kuhubiri amani na ufuatwaji wa sheria tulizojiwekea. Naamini mzee wangu Slaa na Lissu wangeweza kuchukua maamuzi sahihi kuwawakilisha wadau/wanachama wao katika kudai haki zao.

Hivi tunaelekea wapi? Imekuwaje hadi akapewa kisago? Hakukuwa na ulinzi? Naye kwanini afanye hujuma?

mkuu ni kwamba waliompa kichapo kwa mazingira ya hii stori (kafanya hujuma) ni kwamba wamechukua sheria mikononi mwao
hii ni kutokana na hizo sheria unazoondelea wewe kwamba tumejiwekee sisi wenyewe kukosa msimamizi
DC kama kafanya hujuma ni maagizo hivyo kumpeleka polisi hakuna kitakacho tokea
bora wagongwe hivi wawili watatu wakawaonyeshe wake zao ndipo watakoma hakuna anayependa aibu
watahacha tu
 
hii dua ungewaombea ccm kwanza kwa kusababisha vifo na njaa kwa maeflu hapa nchini ama la litakuwa dua la kuku kwa mwewe

watu wenu ni kina nani? kama ni polisi ni lini hajafanya ugaidi? CCM haina mtu mkuu ni nyie tu mlioko kwenye payroll ya mafisadi ndio mmebaki

Mtaishia aibu na adhabu...mtaaibika kwa kukosa kura (hao ndio watu wetu)..mtaadhibiwa (wahusika) kwa kupiga watu wengine

Kwenye payroll hata wewe upo huko unalipwa na mbowe na slaa au siyo!
 
Taarifa zinasema hivi,
Dc akiwa na gari la serikali alikwenda kwenye mkutano wa CHADEMA,akaingia katika nyumba jirani,akawa na kikao na wana CCM ,hivyo wana CHADEMA wakapata taarifa,wakaudhika kwa madai kuwa inakuwaje kiongozi wa serikakli afanye mkutano na wapinzani wao karibu yao,wakavamia nyumba hiyo,wakamtoa na kilichoendelea mengine ni aibu kusema.Lakini habari ndiyo hiyo.

Napata habari hizi kutoka kwa mtu ambaye hana maslahi ya vyama,full taaluma !
 
Magwanda, you have previously survived a number of scandals involving violences but this one is beyond redemption. You have attempted to test JK patience and surely you will face his music in levelling the score. Probably the beginning of an end of Chadema is here.
 
mkuu ni kwamba waliompa kichapo kwa mazingira ya hii stori (kafanya hujuma) ni kwamba wamechukua sheria mikononi mwao
hii ni kutokana na hizo sheria unazoondelea wewe kwamba tumejiwekee sisi wenyewe kukosa msimamizi
DC kama kafanya hujuma ni maagizo hivyo kumpeleka polisi hakuna kitakacho tokea
bora wagongwe hivi wawili watatu wakawaonyeshe wake zao ndipo watakoma hakuna anayependa aibu
watahacha tu
Ngoja mwanao akumbwe na vita ndio utajua kuhubiri vita na ushetani
 
Siafiki namna hii ya kukabiliana na watu tusiokubaliana nao.

Mkuu, kama wasomi sisi tuwe wa kwanza kuhubiri amani na ufuatwaji wa sheria tulizojiwekea. Naamini mzee wangu Slaa na Lissu wangeweza kuchukua maamuzi sahihi kuwawakilisha wadau/wanachama wao katika kudai haki zao.

Hivi tunaelekea wapi? Imekuwaje hadi akapewa kisago? Hakukuwa na ulinzi? Naye kwanini afanye hujuma?

Mkuu, kumbe unajua umuhimu wa amani na usalama wa nchi? Siyo wewe uliyekuwa unahamasisha watu kuandamana kwenye ile thread ya Maandamano ya Nchi nzima?
 
Magwanda, you have previously survived a number of scandals involving violences but this one is beyond redemption. You have attempted to taste JK patience and surely you will face his music in levelling the score. Probably the beginning of an end of Chadema is here.

jk ni mwajiriwa wetu hana sauti zidi yetu, hii mekula kwa magamba soma hii hapa chini sio kupiga kelele tu

user-online.png
by Mathias Byabato

Taarifa zinasema hivi,
Dc akiwa na gari la serikali alikwenda kwenye mkutano wa CHADEMA,akaingia katika nyumba jirani,akawa na kikao na wana CCM ,hivyo wana CHADEMA wakapata taarifa,wakauzika kwa madai kuwa inakuwaje kiongozi wa serikakli afanye mkutano na wapinzani wao karibu yao,wakavamia nyumba hiyo,wakamtoa na kilichoendelea mengine ni aibu kusema.Lakini habari ndiyo hiyo.

Napata habari hizi kutoka kwa mtu ambaye hana maslahi ya vyama,full taaluma !
 
Taarifa zinasema hivi,
Dc akiwa na gari la serikali alikwenda kwenye mkutano wa CHADEMA,akaingia katika nyumba jirani,akawa na kikao na wana CCM ,hivyo wana CHADEMA wakapata taarifa,wakauzika kwa madai kuwa inakuwaje kiongozi wa serikakli afanye mkutano na wapinzani wao karibu yao,wakavamia nyumba hiyo,wakamtoa na kilichoendelea mengine ni aibu kusema.Lakini habari ndiyo hiyo.

Napata habari hizi kutoka kwa mtu ambaye hana maslahi ya vyama,full taaluma !
Mkuu hapo kwenye bold ni bora ungetumwagia hicho kitu hapa jamvini....maana hapo ni sawa umetupatia ugali bila mboga! hata hivyo ahsante
kwa ma updates yako! Big up na endelea kutujuza
 
Magwanda, you have previously survived a number of scandals involving violences but this one is beyond redemption. You have attempted to taste JK patience and surely you will face his music in levelling the score. Probably the beginning of an end of Chadema is here.
aisee mwita25 una akili yaani unajua lugha hivyo...
 
Kwanza walianza kutumwagia tindikali sasa wameanza kuwapiga viongozi wetu wa nchi na mwisho wataanza kurusha mawe ikulu. Hili halikubaliki na lazima wafungiwe kufanya kampeni kabla ya uchaguzi ili washike adabu. Narudia tena, hili halitavumiliwa.

sina hakika kama unafuatilia matukio walio mwaga tindikali sio CHADEMA, lakini mimi hapo napata taabu kidogo kwa nini DC upigwe ? ni ishara ya kushindwa kazi, anafaa hafukuzwe kazi mara moja
 
Back
Top Bottom