Uchaguzi Igunga: DC apata kisago kutoka kwa wana- CHADEMA

The problem ya ccm sasa hivi Tanzania ni kutaka kutumia ubavu na kutishia wananchi kana kwamba wao kumweka huyo binti asiesoma kama DC ni tatizo. I don't care kama huyu mwanamke ni DC au mfanyakazi wa genge la kikwete ila if you guys want to intervene imkiona mgombea wenu wa ccm hana nafasi ya kushinda basi even these actions will not work.

Let me explain why huyu mama alifanya mkutano wakati cdm walikuwa na mkutano the same day. Huyu Mama anatumiwa na kikwete na ccm pure black and white. ccm wanaona its easy kuwatumia hata wasimamizi wao wa wilaya kutaka kueneza tactics za kuiba kura hasa hiki kikao agenda ilikuwa ni kufanya mkutano ya cdm na campaign za zivulugike. Kazi ya mkuu wa wilaya kipindi hiki cha uchaguzi ni kuacha wasimamizi wa uchaguzi wafanye kazi na hasa usalama, sijaona popote pale kunaonyesha mkuu wa wilaya alikwenda kuunda vikosi vya askiri kulinda viongozi wa cdm ... huyu mama alikwenda kuonga na kupeleka rushwa kwa wananchi na tunajua wanafanya hivi mapka leo. Kwani kikwete alijilazimisha vipi kuingia ikulu kama wizi na kununua kura? Tutaona vipi ccm watashinda Igunga zaidi ya kutishia na kutaka kuharibu uchaguzi Igunga. Mama usie na aibu tuonyeshe agendas za kikao chako kama unazo?

Tukumbuke tatizo la hawa makada wa ccm katika mikoa na wilaya ni hii katiba ya ccm. Tuhakikishe tunapigania hii katiba ili kufuta hizi posts za ccm nchini kote. Mfano mkubwa ni mwanamke kama huyu anawekwa wilayani ili wapate kazi ya kulinda ccm kitaifa na sio kutekeleza usimamizi wa matakwa ya wananchi. Why tuna posts za DC na RC wakati nchi yetu inakopa billions? Sasa wanaongeza wilaya zingine just to control wananchi and creating jobs to their foes .... one word "katiba katiba katiba"

For the case of peace Igunga ccm msifikiri sisi wananchi ni wajinga kama vichwa vyenu. Gadaffi alijilazimisha kuendelea kukaa Tripoli mpaka akapigwa viboko na sisi tutawachapa tu, subirini ... hakuna amani itayokuja kwa hiari yenu.

For wanachama cdm inchini kote: Tunahitaji volunteers Igunga ili kusimamia uchaguzi na shughuli zote za campaign na tuta provide malazi na chakula mpaka uchaguzi utapoisha.
 
Back
Top Bottom