ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 422
- 675
Kichwa cha habari chajieleza, uchaguzi mkuu wa mwaka huu kiukweli nje ya wasanii kujaza watu au watu kuja kushangaa mtu aliyepigwa risasi nyingi kwenye kampeni,ni uchaguzi ambao kampeni zake hazivutii wala kusisimua kabisa.
Hii imepelekea viongozi wa nafasi za Urais wa hivi vyama viwili vikubwa wakishapita eneo husika yaani kuanzia ngazi ya mkoa wilaya mpaka kata,kinachoendelea huwa ni vituko,utesema uchaguzi umeisha au bado kampeni hazijaanza watu wako na hamsini zao.
Sijua wamesusa au ubize na maisha au haoni matangazo ya picha au hawasikii mwito wa maspika makubwa kuja kusikiliza sera au wagombea wa nafasi hizi wamedharauliwa na wananchi?
Yaan watu hawana habari kufuatilia wagombea wa ubunge na madiwani yaani hata kuwaongelea kwenye vijiwe mbalimbali iwe bar hadi vya Gahawa.
JE NINI KIMEPELEKEA HAYA KUFIKIA WATU HATA KUTOJUA WAGOMBEA WA MAENEO YAO.?